KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Ni sawa ila tatizo ni ufujaji wa mapato yote ya serikali ikiwepo na yatokanayo na utalii. Serikali ya ccm Ina matumizi ya anasa sana,na haijali umaskini wananchi walionao. Tuna Kila kitu madini,mbuga za wanyama,mlima,misitu.eneo kubwa la bahati,ardhi kubwa,mito,maziwa. Sioni sababu kwanini wananchi tukose bima ya afyaKila nikimtazama Rais wetu, naona matarajio aliyonayo katika kukuza utalii wetu kimataifa ni makubwa mno. Ili kutimiza matarajio hayo, anatumia mikakati mbalimbali hususani kushiriki katika uigizaji wa filamu za kukuza utalii.
Naona Rais akitamani utalii usaidie kuongoza fedha za kigeni nchini na hapo hapo ukisaidia kuajiri mamilioni ya watanzania na kupunguza tatizo la ajira nchini. Pia ,naona akitamani vivutio vyetu vikijulikana Kwa watu wengi duniani.
Haya yote naamini yatafanikiwa ikiwa tutamsaidia kufanya branding ya utalii uwe kama bidhaa ,tumsaidie Mhe.Rais kwenye hili
Ili aweze kufanikiwa zaid inabid awekeze nguvu na kwenye hifadhi nyingineKila nikimtazama Rais wetu, naona matarajio aliyonayo katika kukuza utalii wetu kimataifa ni makubwa mno. Ili kutimiza matarajio hayo, anatumia mikakati mbalimbali hususani kushiriki katika uigizaji wa filamu za kukuza utalii.
Naona Rais akitamani utalii usaidie kuongoza fedha za kigeni nchini na hapo hapo ukisaidia kuajiri mamilioni ya watanzania na kupunguza tatizo la ajira nchini. Pia ,naona akitamani vivutio vyetu vikijulikana Kwa watu wengi duniani.
Haya yote naamini yatafanikiwa ikiwa tutamsaidia kufanya branding ya utalii uwe kama bidhaa ,tumsaidie Mhe.Rais kwenye hili
Utalii ni huduma na tayari makampuni binafsi yanafanya kazi nzuri sana kujipatia wateja ambao ni watalii.Haya yote naamini yatafanikiwa ikiwa tutamsaidia kufanya branding ya utalii uwe kama bidhaa ,tumsaidie Mhe.Rais kwenye hili