Naamini kbs hizo Unrealistic expectations nyingi zinakuwa pasipo na upendo wa kweli,Umri mdogo akili inakuwa haijakomaa,tamaa,kuiga,malezi aliyopitia mtu,kampan na watu wanaomzunguka,na mazingira hasa huku mijini.
Hii inatokea mtu anangia kwenye mahusiano si kwa kupenda bali kufuata vitu flan au ili labda afanae na flan,au na familia yake,au aonekane kuwa ktk hali flan
Ishu inakuja pale vile alivovitarajia vinakosekana au hela inakata ndipo uhalisia unaanza kuonekana na watu kukimbiana,
Ila kwa mtu aliyepitia malezi yale ya ukweli ya kutoka kwenye shida na kuikuta raha baadae na akawa amepitia expiriens za maisha flan huyo mtu akaingia kwenye mahusiano anakua amepevuka vya kutosha,akiwa na uelewa wa maisha ni nn na yakoje,anajua anachokihitaji maishan,na anakua anafaham mafanikio ya maisha na mahusiano yanahitaji upendo,uvumilivu na ushirikiano kati ya wenza lzm ataingia humo akiwa na Realistic expectations na huwa mwisho wa siku wanafanikiwa kimaisha na kimahusiano.