Matatizo 5 ya wanaume wengi wanapokuwa chumbani

Matatizo 5 ya wanaume wengi wanapokuwa chumbani

Hb wa Ilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,189
Reaction score
1,217
5.UUME KUTOSIMAMA(ERECTILE DYSFUNCTION)
Huku ni kushidwa kuMantain erection,hii inatokana na uhaba wa damu kwenye mishipa ya uume maana Ili usimame unahitaji kiasi kikubwa cha damu..hii inaweza kuwa dalili Ya awali ya ugonjwa wa Moyo(cardiac/vascular disease).ILI Kutibu hili Janzo ni nini alaf achana na vitu kama smoking,obesity,cholesterol(lehemu) ambavyo ni chanzo cha magonjwa Ya moyo...unaweza kutumia dawa kama VIAGRA,LEVITRA NA CIALIS

4.TESTERONE DEFICIENCY SYNDROME
Testerone ni Hormone ambayo kazi Yake ni Control ya Secondary charactaristics za Ukuaji kwa wanaume Uhaba wake unaweza kuaffect kiwango kwenye mechi,ukuaji wa mifupa(unanyanyua chuma Hujai),nguvu(energy level),Nguvu(strength) na mood hii Na Ya tano viinambata..daktari atakushauri cha kufanya

3.PEYRONIE'S DISEASE
Ugonjwa huu unasababisha Uume kuwa mwembaba sana na husababisha na deforming of scar tissue kwenye kichwa au Juu ya uume na usababisha maumivu wakati wa mechi uume ukisimama..unaondoka baada Ya 1-2 Years lakini inabaki vile vile nyembamba surgery zipo lakini side effects ni nyingi.

2.PROLONGED ERECTIONS(UUME KUGOMA KUSINYAA)
Hii inatokea baada Ya matumizi Ya vidonge vya kuongeza nguvu kama viagra directly injected kwenye uume,hapa mhusika inabidi apunguzwe damu masaa 8 baada Ya hili kutokea ili kuzuia permanent damage Ya uume kabisa,poa matumizi Ya cocaine yanaweza kuwa chanzo.

1.EJACULATORY DSYFUNCTION(KUWAHI KUMWAGA)
Hili ndo common kwa wengi especially wanaume below 40yrs hii mara Nyingi inategemeana na Ile ya Tano,matibabu ni Mengi unaweza kutumia antidepressants na anaesthetics kupunguza sensation Ya Uume.
 
hizo antidepressants ndo nn mkuu unaongea kitaalamu sana
 
Kuna article ilisema kua kuna watu naturally wao ni watamwaga mapema kwa mzunguko wa kwanza, yaani hata kama wakatumi dawa au mazoezi haiwezi kusaidia. Hivyo kuwahi kumwaga kusiwe treated kama vile ni tatizo ikiwa kuanzia second round atakua anaenda kama kawaida
 
Kama maendeleo yangekuwa kuongelea uume na nguvu zake kwa hakika Tanzania tungekuwa tunaongoza dunia
Hii ni Burning Issue Kila sehemu sio Bongo tu,sema huku watu wameona kawaida ILA nchi zingne ni aibu
 
sasa mkuu ukipunguza sensational ya uume mwishowe si utakua husense kitu..na hizi dawa unatakiwa utumie kila unapotaka kufanya tendo?
Zinapunguza sensation kidogo,ndio masaa kadhaa kabla Ya tendo na kupoteza sensation kunatokea zikizidi,ni Moja Ya side effects
 
Mimi sijuwi nina tatizo mana goli la kwanza ndani ya dk2 tu nishaachia wanzungu lakini bao la pili huchukua dak20 na zaidi lakini sitombagi goli moja nikatoka uwaga nikimwaga goli la kwanza uume unakua bado umesimama kama ninaanza kwa hiyo naunganisha juu kwa juu yani napiga bao mbili ndani kwa ndani. Ndivyo nilivyo tena nikikutana na mwanamke alieniridhisha zaidi uwaga napiga goli 6 kwa michezo mitatu mpaka asubuhi. Yani mchezo mmoja nikiingia natoka na double.

Msaada mtoa mada kama ninatatizo naomba nijue.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngono ni displine kaka,sio mechi kuwa mnahesabu magoli,inaonekana mechi ikianza wewe unashambulia muda wote lazima goli liwe fasta ivo...kuna watu anapiga moja tu kila mtu anaridhika na analitoa baada ya dakika 20 hizo
 
Sawa lakini uajanijibu kama ninatatizo au la ila comment yako umenijibu kana kwamba Mimi ni mshamba wa hizo mambo nilijua post yako itasaidia watu kujua kama wanamatatizo au la kupitia wewe kwa kuwajibu maswali yao.
 
Samahani mkuu kama nlitoka nje kidogo ILA its entirely normal kabisa HAUNA tatizo
 
Back
Top Bottom