Uwepo wa ulimwengu unadhihirisha kuwa Mungu yupo; anajua yote, anaweza yote, na Yeye ndio Upendo.Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Ni fictionsl character, katungea na watu.
Ulimwengu huu unakanusha kuwepo kwake.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Kivipi, nyambulisha hoja yako hatua kwa hatua, kwa mifano hai, yenye mantiki, inayothibitishika bila kuweza kupingika.Uwepo wa ulimwengu unadhihirisha kuwa Mungu yupo; anajua yote, anaweza yote, na Yeye ndio Upendo.
Kiranga[emoji23][emoji23][emoji23]Note: Covid-19 pia inathibitisha kuwa Mungu yupo.
Haiwezekani tu kuwa ulimwengu ulijikuta upo wenyewe, sio? Lazima kitakuwa na chanzo (origin) chake.Kivipi, nyambulisha hoja yako hatua kwa hatua, kwa mifano hai, yenye mantiki, inayothibitishika bila kuweza kupingika.
Lakini pia, kila kitu hai ni matokeo ya movements.Kivipi, nyambulisha hoja yako hatua kwa hatua, kwa mifano hai, yenye mantiki, inayothibitishika bila kuweza kupingika.
Lakini pia, kila kitu hai ni matokeo ya movements.
Hizi movements zinakuwa controlled na kitu kingine externally. Ukiifuata hiyo chain, mwisho wa siku utakuta kuna chanzo kimoja kinachozi-control ambacho hakiwi-controlled.
Hicho chanzo ndio Mungu mwenyewe. Kwahiyo vyote vilivyomo ulimwenguni, vinathibitisha uwepo wa Mungu.
Note: Covid-19 pia inathibitisha kuwa Mungu yupo.
Dhana nzima ya muda, ambayo inazaa dhana ya chanzo na cha badaye, ni dhana inayotokana na kutoelewa ulimwengu ulivyo complex.Haiwezekani tu kuwa ulimwengu ulijikuta upo wenyewe, sio? Lazima kitakuwa na chanzo (origin) chake.
Wewe, kwa mfano, haukujikuta tu upo. Ulizaliwa kutoka kwa wazazi wako, ambao walizaliwa na wazazi wao. Chain hiyo utaendelea hadi kufikia sehemu tutapata wazazi wa kwanza kabisa.
Sasa, hao nao lazima wawe na chanzo ambacho kilichowaumba ambacho hakikuumbwa. Hicho chanzo, ndio Mungu.
Thibitisha kauli yako mkuu kwa concrete evidence!Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Ni fictionsl character, katungea na watu.
Ulimwengu huu unakanusha kuwepo kwake.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Tuachane na quantum Physics, hata mimi nina theory zangu sijazi-publish, one day I will.Hii ni assumption, unawezaje kuhakikisha hili? Unaelewa habari nzima ya mwanzo na mwisho inatokana na udogo wa mawazo yetu na umasikini wa uzoefu wetu?
Unaelewa kwamba katika quantum physics ukizama sana, muda unapotea, mambo yanaweza kuwa hayana muda, na chanzo kinaweza kuja baada ya matokeo (the cause appearing after the effect, instead of the cause causing the effect?
Kwa hiyo kama chanzo ni nothingness, non existence, Mungu ni nothingness?
Ulimwengu ndo unathibitisha kuwepo kwa Mungu.Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Ni fictionsl character, katungea na watu.
Ulimwengu huu unakanusha kuwepo kwake.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Existence ya time inakuja kuwa proved na theory yangu ya air kama source ya energy and everything. Hiyo air pia source yake ni Mungu.Dhana nzima ya muda, ambayo inazaa dhana ya chanzo na cha badaye, ni dhana inayotokana na kutoelewa ulimwengu ulivyo complex.
Kwa mfano, ukiiangalia dunia kutoka jicho la mshale wa mwanga (photon), dunia inakuwa haina muda unaoendelea, haina past, haina future, past na future zote zimeunganishwa katika present.
Kwa sababu photons zinasafiri kwa speed of light.
Fundamentally, time is not real, it is a manifestation of limitations in speed and relative movement.
Ukisoma Einstein's Relativity utaona hilo.
So why do you treat time as fundamentally real and important?