Habari za wakati huu!
Katika maisha, kumekuwa na nyakati ambapo tunawaza na kuwa na wasiwasi juu ya uwepo wa Mungu. Uwepo wa matatizo mbalimbali kama matatizo ya kiuchumi, matatizo ya kiafya, matatizo ya kijamii, matatizo ya kisiasa, n.k. umechangia kwa kiasi kikubwa hali hii.
Ukweli mchungu, ni kuwa; Mwenyezi Mungu alipoiumba dunia, aliweka utaratibu wake ambao ulikuwa mwema kabisa. Akatutaka tuishi kwa upendo ili kuendeleza uzuri huu wa dunia.
Kwahiyo, matatizo haya yanadhihirisha uwepo wa Mungu na wakati huohuo kutukumbusha kuwa ili tuishi kwa wema na amani, tunapaswa kufuata utaratibu wake sahihi, tupendane.
Sio wakati wote tunapopata matatizo ni kwa sababu tumekosea au tumeshindwa kufuata utaratibu. La, wakati mwingine tunapitia majaribu ili Mwenyezi Mungu aweze kupata sifa na utukufu.
Tujitahidi kudumu kwa Mwenyezi Mungu wakati wote. Hatutakuwa na vita, ugomvi wala mlipuko wa magonjwa mbalimbali. Na hata tukiwa nayo, au pale majanga ya asili yanapotokea, tutakuwa na nguvu na uwezo wa kuyastahimili huku tukibaki kuwa waaminifu kwa Mungu.
Wasalaam!
Thibitisha Mungu yupo.Existence ya time inakuja kuwa proved na theory yangu ya air kama source ya energy and everything. Hiyo air pia source yake ni Mungu.
Kwa maelezo yako hayo movement ya hizo photons na photons zenyewe zinamtegemea Mungu.
Uwepo wa mabaya duniani unathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.
Kwa nini tuachane na quantum physics?Tuachane na quantum Physics, hata mimi nina theory zangu sijazi-publish, one day I will.
Tutumie simple logic tu. Babu yake na Babu yako alishawahi ku-exist? Kama ni ndio, unathibitisha vipi?
Nikikuambia kuwa ni fictions tu utapinga?
Mkuu,Thibitisha Mungu yupo.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Huu ni uthibitisho mwingine wa uwepo wa Mungu.Uwepo wa mabaya duniani unathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.
Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kuwepo.
Ulimwengu huu mabaya yanaweza kuwepo.
Hivyo, Mungu huyo hayupo.
Kama unabisha, thibitisha yupo.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Kwasababu inarudi kwenye dhana ya contradiction ambayo mwisho wa siku inaungana na dhana ya causality. Hauwezi kukubali uwepo wa contradiction bila causality, na vice versa.Kwa nini tuachane na quantum physics?
Kwa nini unanipangia cha kujadili?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Uwepo wa magonjwa na matatizo mengine, kwa kiasi kikubwa, ni matokeo ya kutokufuata utaratibu tuliowekewa na Mungu.
Matatizo yanathibitisha tu kwamba hapa sio mbinguni bali ni duniani. Pia yanathibitisha uwepo wa shetani. Hii inathibitisha uwepo wa Mungu.Habari za wakati huu!
Katika maisha, kumekuwa na nyakati ambapo tunawaza na kuwa na wasiwasi juu ya uwepo wa Mungu. Uwepo wa matatizo mbalimbali kama matatizo ya kiuchumi, matatizo ya kiafya, matatizo ya kijamii, matatizo ya kisiasa, n.k. umechangia kwa kiasi kikubwa hali hii.
Ukweli mchungu, ni kuwa; Mwenyezi Mungu alipoiumba dunia, aliweka utaratibu wake ambao ulikuwa mwema kabisa. Akatutaka tuishi kwa upendo ili kuendeleza uzuri huu wa dunia.
Kwahiyo, matatizo haya yanadhihirisha uwepo wa Mungu na wakati huohuo kutukumbusha kuwa ili tuishi kwa wema na amani, tunapaswa kufuata utaratibu wake sahihi, tupendane.
Sio wakati wote tunapopata matatizo ni kwa sababu tumekosea au tumeshindwa kufuata utaratibu. La, wakati mwingine tunapitia majaribu ili Mwenyezi Mungu aweze kupata sifa na utukufu.
Tujitahidi kudumu kwa Mwenyezi Mungu wakati wote. Hatutakuwa na vita, ugomvi wala mlipuko wa magonjwa mbalimbali. Na hata tukiwa nayo, au pale majanga ya asili yanapotokea, tutakuwa na nguvu na uwezo wa kuyastahimili huku tukibaki kuwa waaminifu kwa Mungu.
Wasalaam!
Mkuu,
Hatuwezi kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa njia za Kisayansi kwa kuwa ni mkubwa kuliko uwezo wa mwanadamu kufanya upimaji na majaribio.
Kwa kuwa sayansi haiwezi kuthibitisha uwepo au uwezo wa Mwenyezi Mungu, tunabakiwa na Falsafa pekee, ambapo nimejaribu kutumia principle ya efficient cuaslity.
Katika principle hii, tunatumia logic ndogo tu kukubaliana kuwa kila kitu kinacho-exist ni matokeo (outcome) ya kitu kingine kilichokianzisha (cause).
Ukiifuata hiyo chain ya matokeo (outcome) kusababishwa na chanzo (cause) itafikia sehemu utakuta kuna chanzo pekee ambacho sio matokeo ya chanzo kingine; huyo ndio Mungu.
Hakuna kitu kilichopo ambacho kimekuwepo chenyewe. Kwa mfano, wewe hapo ni matokeo ya baba na mama yako; maji ni matokeo ya muunganiko wa kikemia wa Hydrogen na Oxygen, n.k.
Wewe unapinga. Na unasema kwa mujibu wa Quantum Physics; babu zako (ambao pengine walishakufa), wazazi wako, watoto wako na hata wajukuu na vitukuu vyako vijavyo (ambavyo havijazaliwa) wote mnapatikana wakati huu.
This is fallacy!
Katika hiyo cause-outcome pattern, kuna sehemu itafika kutakuwa na uncaused causer - huyo ndio Mungu....kama kila kitu kina kikichokiumba...je,Mungu kaumbwa na nani mkuu?!...out of curiosity
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba anatukumbusha kwamba yupo au kivp mkuu!?Note: Covid-19 pia inathibitisha kuwa Mungu yupo.
Unaweza ukasema hivyo pia.Kwamba anatukumbusha kwamba yupo au kivp mkuu!?
Duh..kww hiyo Mungu anataka watu wake wamkumbuke kuwa yupo kwa kuwatesa na kuwaua...tena wengine hawana hata hatia mkuu...basi hatendi haki kabisa mkuu.sio poa yaaniUnaweza ukasema hivyo pia.
Nimesema hivyo kwa maana ya kuwa matatizo yanapotokea mara nyingi yanatukumbusha kuwa kuna sehemu hatujafuata utaratibu wa Mungu.
Tunapopata Covid-19 kwa mfano, inatukumbusha kuwa hatujafuata utaratibu wa Mungu wa usafi na ustaarabu.
Nilimaamisha hivyo, japo hata ulivyosema wewe pia upo sahihi.
Unaweza ukasema hivyo pia.

Ufuataji wa utaratibu wa Mungu hauhitaji mtu kuwa Mkristu au Muislam au Mpagani!Covid - 19 imeanzia Wuhan China ambapo wengi wao ni wapagani na hawajui habari za Ukristo wala Uislamu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,Duh..kww hiyo Mungu anataka watu wake wamkumbuke kuwa yupo kwa kuwatesa na kuwaua...tena wengine hawana hata hatia mkuu...basi hatendi haki kabisa mkuu.sio poa yaani
Kama Mungu ni mwema na aliumba ulimwengu mwema kabisa...nani kaleta korona? Na kwanini karuhusu alieleta korona aje awatese watu wake aliowaumba mkuu? Atuepusha basi na ili janga alitupe mbali hukoMkuu,
Wewe ukimkumbuka au usipomkumbuka Mungu haimuongezei au kumpunguzia chochote. Unapomkumbuka, inakusaidia wewe kuendelea kuwa mwema.
Mwenyezi Mungu ni mwema na aliumba ulimwengu mwema kabisa ambao aliuwekea utaratibu mzuri, ambao ukifuatwa, utaendelea kuifanya dunia kuwa njema na mahali salama pa kuishi.
Kisha akamuumba mwanadamu huru ambaye alimpa machaguo mawili:
• Aufuate utaratibu huo, na matokeo yake aendelee kuwa mwema na kuishi katika dunia iliyojaa wema.
• Asiufuate utaratibu huo na matokeo yake asiwe mwema na aishi katika dunia isiyokuwa na wema.
Tukichagua kuwa wema dunia itakuwa njema pia. Tunapochagua kutokuwa wema, ndio tunakaribisha magonjwa, mauaji, uzinzi, vita, mifadhaiko, na mabaya mengine unayoyajua na usiyoyajua.
Kwahiyo, Mungu hamtesi wala hamuui mtu; isipokuwa mwanadamu, kwa utashi wake, anatumia uhuru wake mwenyewe kuleta mateso, magonjwa, n.k. ambayo mengine anawafanyia watu wasiokuwa na hatia.
Covid-19 na mateso mengine kwa watu wengine hayajaletwa na Mungu; yameletwa na uchaguzi wa mwanadamu kwa kuamua kutokufuata utaratibu aliouweka Mwenyezi Mungu.Kama Mungu ni mwema na aliumba ulimwengu mwema kabisa...nani kaleta korona? Na kwanini karuhusu alieleta korona aje awatese watu wake aliowaumba mkuu? Atuepusha basi na ili janga alitupe mbali huko