Matatizo makubwa kwa Tanzania: Uongozi, Rushwa, unafiki aka Uchawa

Matatizo makubwa kwa Tanzania: Uongozi, Rushwa, unafiki aka Uchawa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Matatizo mapya makubwa Tanzania ni

1. Rushwa. Rushwa ya uongozi hata kwa viongozi wa usalama ndiyo sababu ya wizi wa kura na mambo ya namna hiyo. Kutokuwa na adhabu kwa walarushwa wa serikali za kutosha na wanasiasi kununua hata wapinzani nayo ni rushwa.

2. Uongozi mbovu Mama Samia kashidwa kuendesha chaguzi huru mwaka jana, kashidwa kuweka mikataba wazi ya kitaifa. Na yuliokuwa tuna muunga mkono 2021-2022 sasa tunaona kama ni Raisi mwenye tamaa na kasahau alikotoka.

3. Uchawa na unafiki hasa kwa waandishi wa habari. Media zimekuwa zinasifia vitu vya uongo na kwa unafiki. Viongozi wanasifia kwa unafiki

Haya yote yana changia nchi yetu kuendelea kuwa nyuma na masikini
 
Back
Top Bottom