Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

Mimi nafikiri utakuwa na shida kidogo kichwani mwako hakika kuna kitu huyo Magufuli kakufanya si bure yani hadi akili za kusikiliza kaondoka nazo?Kwa hiyo sio kuzidi kwa mvua tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na sio matengenezo ya mashine za viwanda vya TPC na Mtimbwa? Kwa hiyo Bashe ni muongo kabisa?πŸ˜‚πŸ˜‚ Sio kuzudi kwa maji kutokana na mvua?
Aisee naomba niishie hapa kwakweli!
 
Mapumbavu yaliyoshindwa siku zote hutafuta wa kumlaumu au sababu ya kuhalalisha kushindwa kwao .
 
Sijui kama unafahamu kuwa Kilombero Sugar walikuwa na wakati mgumu sana wakati wa Magufuli na sasa ndio wanarudi tena katika hali ya kawaida.
 
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…