Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

Hapo kwemye pongezi za michezo ndo amelimudu kwa 100 .kwa sababu halitumii hata akili
 
Mtaendelea kumlaumu Magufuli mpaka lini, HUU NI UDUMAVU WA AKILI, Si mrekebishe sasa yale mnayoona alikosea. 😳
 
Mtaendelea kumlaumu Magufuli mpaka lini, HUU NI UDUMAVU WA AKILI, Si mrekebishe sasa yale mnayoona alikosea. 😳
Kuna mengi ya kujifunza; hatuwezi kurekebisha isipokuwa kufahamu kwanza chanzo cha matatizo na ubaya wa katiba tuliyonayo.
 
Hakuna lawama za utendaji (strategic) zenye madhara ya muda mrefu. Why kwa sababu unakuja na vision, mission na goals zako; na sidhani kama swala la kubadili uendeshaji wa shirika la umeme au kuongeza uzalishaji wa kilimo provided you have the funds ni la zaidi ya mwaka.

Ukiona ivyo tatizo bado sugu baada ya miaka mitatu maana yake waliopewa kurekebisha hawana uwezo.

Pia uwezi kumlaumu Nyerere leo mtu ambae kang’atuka toka 1985. If anything Nyerere katika muda wake alifanikiwa kwa sababu hakufanya ujamaa tu wa kisera ila alifanya na propaganda za ujamaa kuwawekea watu fikra za ujamaa hilo ni jambo muhimu katika utekelezaji (hakuna strategy inayoweza fanikiwa kama hakuna shared values).

Nchi imeingia kwenye soko huria (partly) waliopokea kijiti waongea mambo ya soko huria kisera lakini hakuna jitihada za kubadili social thinking kufikiria kwa soko huria hasa huko serikalini. Matokeo yake nchi ina sera za free market, viongozi wengi wana akili/fikra za kijamaa (vurugu machi).

Hata wananchi wengi awapewi elimu ya fursa za uwekezaji zilizopo matokeo yake watu wanakimbilia kwenye vitu rahisi tu ambavyo ni kufanya biashara na serikali.

Mifano ni mingi sana; ni watanzania wangapi wanajua capital allowance ya mashine za kilimo 100% na tafsiri yake nini.

Au unakuta nchi aina sukari, Kagera sugar imeagiza mtambo; mashine imekwama bandarini miezi sita kisa kodi za ushuru na forodha; wakati muagizaji ni biashara ambayo unaweza mpa na kumdai.

Nyerere alifanya ujamaa kwa akili sahihi (sasa mafanikio au kufeli kwa ujamaa wake ni debate nyingine). Hawa waliopo sera zao na akili za viongozi wengi ni tofauti inakueleza hawana watu wenye uwezo wa kubadili fikra za watumishi wa umma kwenda sambamba na wanachotaka ku-achieve strategically.

Kila mtu abebe mzigo wake uwezi kulaumu failure zako kwa watangulizi wakati una absolute powers to do things as you wish. Capitalism inataka jamii yenye fikra za entrepreneurship and innovation ndio msingi wake.

The woman is just a failure
 
Uhuru wa habari wa awamu ya nne ulikuwa kwa baadhi ya watu lakini wengine walisulubiwa kisirisiri !
Na wengine walidhalilishwa !!
Dr Ulimboka
Mwangosi !
To mention the few. !
 

Huu ndio ukweli wenyewe, na kulipa madeni ya mikopo chefuchefu aliyokuwa anakopa kwa pupa Ili kusaka sifa za kisiasa.
 
Hizi ndio zile akili nyepesi nyepesi za watanzania kama nilivyoandika katika uzi wangu na sijui kama uliusoma au umerukia tu kukomenti.
Amesoma uzi vizuri na jinsi alivyokujibu yupo sahihi amejikita ktk matatizo ya sasa yanayotusumbua kwa mujibu wa uzi wako umekurupuka kuandika awamu ya tano ukiwajibika vyema ktk nafasi yako hakuna litakukuta baya , na swala la upinzani uchwala pia huwezi kuwa salama awamu ya tano jikite kulijenga taifa sio kuwa kiongozi wa mazoea

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli ndio alikuwa Bwana Mitambo wa pale?

Lakini January alitumia miaka miwili akizima umeme na kufanya matengenezo?

Akili finyu hizi. Pole.
I've decided to ignore you so that you can continue to collaborate with your less understanding colleagues.

Good night, my comrade.

Ova
 
I've decided to ignore you so that you can continue to collaborate with your less understanding colleagues.

Good night, my comrade.

Ova
Better. You can further opt to delete this rubish thread.
 

Upo sahihi sana. Uchumi ukiuharibu leo, athari zake zinaweza kwenda hata zaidi ya miaka 20 mbele, japo sina uhakika na hilo suala la mitambo ya gas.

Madhara ya maamuzi mabaya ya awamu ya 5, kwenye baadhi ya sekta, kama madini, hauajaanza kuonekana kwa wazi ila yanakuja taratibu.

Mathalani, kulikuwa na makampuni zaidi ya 100 ya kigeni ya utafiti wa madini nchini. Baada ya ile shetia ya hovyo ya Kabudi, yote yameondoka. Hii ina maana yatakapoisha madini yanayochimbwa leo, hakutakuwa na kwingine kwa kwenda kuchimba, na hiyo italeta upungufu mkubwa kwenye pesa ya kigeni na pato la Taifa. Leo hii kiasi cha dhahabu kinachochimbwa Tanzania kwa mwaka kinazidi kupungua huku nchi nyingine wakiongeza uzalishaji. Biteko naye alikuwa anamlisha matangopori Samia kuwa mapato yanaongezeka, lakini hamwambii kuwa uzalishaji unapungua. Ongezeko la mapato lilikuwa linatokana na ongezeko la bei ya dhahabu, na siyo ongezeko la uzalishaji.

Kuweza ku-reverse trend kunahitajika uongozi wenye uwezo na maono makubwa, ambao kwa sasa haupo. Uliopo unazidi kuongeza matatizo kuliko kuyapunguza.
 
Hizi akili za Madrasa!
 
Hawa wanafiki kama mtoa mada ndiyo wakiulizwa kwanini Tanzania ni masikini ilihali ina rasimali lukuki;utasikia ni kwa sababu ya ukoloni wakati ata Asia walitawaliwa na Wakoloni wale wale!
Kwaiyo Magufuli kama scientist alikuwa hajui kuwa uki-over work machine inaweza kufa ila huyu chawa ndiyo anajua sana!
 
Akili zako ziko kwenye kalio
 
Huna hoja,Jamaa anajadili issues nyie na jamaa yako kilaza mnajadili personalities.
 
Kuna mengi ya kujifunza; hatuwezi kurekebisha isipokuwa kufahamu kwanza chanzo cha matatizo na ubaya wa katiba tuliyonayo.
Kama tukitaka kujadili matatizo ya umeme nchi hii tuanziea awamu ya pili maana ndiyo walikuja akina IPTL ambao wametuacha hoi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…