Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

Uulize nini kila kitu tumesoma hapa.
Huyo mwenyewe CAG alikua na mambo yake ndo mana akawekwa kando.
Magufuli hakutaka matumizi yake mabaya ya fedha za Umma yajulikane.
 
Awamu ya 5 ndio ilituzalishia machawa pro max,yaan awani kila atakae ongea lazima amtage rais,wewe ogopa mtu anapata ajali lakin anamshukuru rais [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jambo nililogundua ni kwamba wote wanamsujudu Magufuli ni wale jinga jinga na nimeona sana kwako uwezo mdogo wa kujenga hoja na ujinga ndio tatizo lako. Jitahidi utoke katika hali hii duni.
Wewe mjinga na ma+vi hizo shahawa zako bora baba yako angepiga punyeto kuliko kutuletea tabu kima wewe
 
Unajiskia vp kuwa wewe katika hali kama hii, unavuta bangi au una matatizo gani ndugu, tusaidiane manake naona una shida pia katika akili yako, umelelewa vibaya sana inaonekana. Lakini pole kwa hayo nafikiri polepole hali itakuwa shwari kwako.
 
Wewe kichwani kwako kuna Ma+vi
Mpumbavu mjibu kwa upumbavu wake nakujibu kulingana na ujinga wako
 
Rekebisha tabia tako hiyo naona upo hovyo kila wakati ni kurudia hovyo hata hapo huwezi kutoka ndio utaweza kuelewa mambo makubwa ya siasa na uchumi wewe?!
 
Magari yanatapaswa kufanyiwa service kila baada ya kilometer kadhaa, lakini wapo wanaooitiliza hata mara 2 ya muda uliopangwa. Ndivyo ilivyofanyika kwa mashine za kufua umeme zililazimishwa kufanya kazi bila service leo nyingi zipo juu ya mawe. Magufuli aliagiza hivyo; sitaki kusikia umeme umekatika nikisikia nitakutumbua. Watu wameua mashine zetu kwa mtindo huo.
Mbona mnajichanganya maana wengine mnasema alilazimisha mashine zifanye kazi bila service ili umeme usikatike katike ila wengine mnasema hata kipindi cha Magufuli mgao ulikuwepo ila haukuwa ukitangazwa kwa uoga.
 
Na la NHIF chanzo ni awamu ya tano?
 
Sorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia.

Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na wataalamu waliachwa watumie taaluma yao kutoa miongozo, lakini alipokuja Magufuli yeye aligeuka kuwa engineer, docta, mchumi, na kila kitu.

Kuna mambo mengi watanzania wenye akili nyepesi nyepesi hawawezi kuyaona. Matatizo mengi tuliyonayo sasa hivi kama uhaba wa dola, umeme, ukosefu wa sukari n.k. yalitokana na utawala wa kuburuza mambo wa awamu ya tano.

Mfano umeme: Wakati wa Magufuli mashine nyingi za kufua umeme kwa kutumia gesi zilifanya kazi na kupitiliza wakati wake wa kufanyiwa ukarabati. Tanesco walilazimika kuendelea kufua umeme na mashine zilizokuwa zinahitaji kufanyiwa ukarabati kwani Tanesco wangeondoa baadhi ya machine ili kufanya ukarabati kungesababisha upungufu wa umeme na mgao kitu ambacho kingepelekea wao kufukuzwa kazi mara moja. Hivyo waliendelea kuzalisha umeme na mashine zilizokuwa hoi.

Leo karibu nusu nzima ya mashine za kufua umeme wa gesi pale Ubungo na Kinyerezi zimeharibika kwa mkupuo baada ya kulazimishwa kufanya kazi zikiwa mbovu! Matokeo yake leo hii tuna mgao ambao hata viongozi wetu hawana lugha nzuri ya kuulezea; watasema ni upungufu wa mvua hata pale ambapo El Nino zilikuwa tele kuanzia mwaka jana mwishoni. Hutasikia wakisema ukweli huu kuhusu ubovu wa mashine zitu, utawasikia wakisema ni ongezeko la matumizi ya umeme, hilo nalo ni uongo tu.

Matatizo ya sukari na dola yana mkondo huo huo. Nani asiyejua namna Magufuli alivyoharibu biashara kwa kuwabambikizia kodi wafanyabiashara, kuwapora mitaji na kuwalazimisha kufunga biashara zao kwa visingizio vya kodi? Matokeo ya hayo ndio leo tunayaona. Biashara kati ya Tanzania na nchi za nje ilidorora mno wakati wa Magufuli. Si mnakumbuka jinsi Magufuli alivyowachukia "mabeberu"? Unategemea nini kibiashara unapowachukia bussiness partners na kufunga biashara zao nchini?

Ila kwakuwa watanzania wengi wamelishwa uongo na hawana jinsi ya kugundua uongo huo basi wataamini kuwa Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa mazuri. Nawaambia, saa hii tungekuwa kwenye hali ya tahadhari na majanga makubwa kiuchumi na kijamii. Magufuli hakuwa na upeo mkubwa kiuchumi, yeye alilazimisha kila kitu kama alivyopenda bila kujali matokeo yake. Leo tunateswa na matatizo ambayo chimbuko lake ni awamu ya 5 na hakuna kiongozi atakayetuambia ukweli huu!
Tatizo lenu chadema mnadhani nchi inaongozwa kwa maneno na porojo.
 
We unaandika kwa kuendeshwa na chuki binafsi kwa Magufuli with very poor analysis.
We hata haujui chanzo cha kushuka uzalishaji wa sukari kwenye viwanda vyetu ni mashamba ya miwa kujaa maji kutokana na mvua za elnino za juzi. Hapo serikali ya awamu ya 5 inahusikaje?
 
Sasa kwanini mama asimrudishe ili mambo yakae sawa?
Kwani lazima amrudishe yeye? Kwani anseweza kutimiza wajibu wa CAG ni yeye pele yake? Ni cheo binafsi?

Swala ni kwamba alifukizwa na Magufuli baada ya Kuinua Ufisadi.
 
Matatizo ya Tanzania yameanzishwa na Nyerere

Nyerere alikuwa na iwezo wa kupima Tanzania nzima ili kuepusha ujenzi horera
 
Kwani lazima amrudishe yeye? Kwani anseweza kutimiza wajibu wa CAG ni yeye pele yake? Ni cheo binafsi?

Swala ni kwamba alifukizwa na Magufuli baada ya Kuinua Ufisadi.
Kwa hiyo kwa sasa hakuna ufisadi kabisa……😂😂😂😂😂! Hivi sukari imekwenda wapi? Ile inayoingizwa imekwenda wapi? Hivi ile ruzuku iliyowekwa kwenye mafuta ndio imesababisha mfumuko wa bei kwenye bidhaa na nauli kupandishwa mara mbili ndani ya miaka miwili? Hivi nyie CCM wakati wa Magufuli ni kiongozi gani wa sasa hakuwa kiongozi? Mbona hakuna aliyejiuzulu? Mbona mnakwepa kuwajibika? Kwanini msikubali mmeshindwa? Huyo Magufuli kwani alikuwa mwana chadema? Hivi thamani ya Dolla kwa sasa ni Tsh ngapi?
Kama mmeshindwa kutatua matatizo kwanini msikae pembeni? Mnataka mpaka huyo mwendazake alafufuliwe ndio aje kutatua matatizo hayo?

Basi achaneni na kila kitu tunaomba sukari tuu….ni nchi gani umeona watu wanapanga foleni kununua sukari?
 
Muongo Muongo Muongo, wewe ni chawa ukiyechanganyika na kunguni ndani yake. Huyo Magufuli tangu afe imepita miaka mingapi? Kama ni hivyo mbona unamsifia mtu ambaye aliwekwa na mtu ambaye unakaa kumsema, shy on you!!

Ee MUNGU wape akili hawa watu wanaojiita CHAWA maana DNA zao zikizalisha watoto, tutapata kizazi cha ajabu sana ziku za mbele.
 
We unaandika kwa kuendeshwa na chuki binafsi kwa Magufuli with very poor analysis.
We hata haujui chanzo cha kushuka uzalishaji wa sukari kwenye viwanda vyetu ni mashamba ya miwa kujaa maji kutokana na mvua za elnino za juzi. Hapo serikali ya awamu ya 5 inahusikaje?
Tatizo la uhaba wa sukari sio la kuanzia December mwaka jana kama unavyofikiri! Ni tatizo la kitambo kidogo na linatokana na kuyumba kwa sekta ya biashara na viwanda iliyotokana na uongozi mbovu miaka 7 iliyopita! Nani asiyejua jinsi biashara na wafanyabiashara walivyoharibiwa biashara zao na mitaji yao wakati wa Magufuli? Biasahara nying zilifungwa ikiwa ni pamoja na mipaka yetu. Uhusiano wetu na majirani zetu ndio Samia amepambana na sasa unaanza kurudi. Uongozi wa Mgful ulisababisha matatizo mengi na mengine bado tutayashuhudia miaka ijayo.
 
Ndio mkaomba trillion moja ww na January makamba ili mkaweke nne serena hotel kiufupi ww na hao wenzako nyote wezi tu.
 
Back
Top Bottom