Ni wiki nyingine tena bado tupo tunapambana na maisha kila mmoja na nyanja zake na humu ndani pamekuwa na somo kubwa watu wanaelimishana na kupata mitazamo tofauti sasa basi naomba niende moja kwa moja kwenye mada
Nina kaka yangu mmoja ana matatizo ya macho low vision problen haoni vizuri na akipimwa miwani hapati na ukimpa karatasi asome hawezi mpaka asogee karibu
Kwa mujibu wa yeye mwenyewe matatizo hayo hakuzaliwa nayo aliyapata kipindi yupo form 2 shule fulan hapa Dar jina kapuni anasema kwamba alianza tabia ya kucheza gamea playstation games tena kipind hiko kuna TV zile zenye machogo tube tv na alikuwa anaishi hostel ambapo alikuwa analala kwenye double deck kitanda cha juu kilicho karibu na taa
Anadai kwamba hali io ilidumu kwa muda wa mwaka mmoja kwa sababu alikuwa mdogo ukichanganya na maswala ya familia basi akawa km kakata tamaa na alikuwa anaish ili mrad tu kuna matatizo yalikuwepo ndani ya familia japo sitaki kuweka wazi ila in short aliishi maisha ya bull shit hali hii ilidumu kwa muda mrefu game playstation ndio ilikuwa faraja yake na akirudi hostel kulala wenzie wanamfanyia makuaud wanamwashia taa huku wakijua dhahiri kuwa ana matatizo ya macho asipone
Saaa kakaa muda mrefu na aaaa anaanza kutafuta tiba ya huo ugonjwa kwa mujibu wa madaktari wanasema TV haiwez kumpa mtu low vision problem wamemwambia anaumwa Ugonjwa ambao kitaalamu unaitwa optic nerve path mara waseme macular dull na wamemwandikia vidonge lakini ni miaka miwili sasa anatumia vidonge na hakuna mabadiliko ameenda CCBRT, MUHIMBILI kote majibu ni hayo hayo
Sasa basi tunaomba ushauri wenu nn kifanyike maana kwa mujibu wake tatizo hilo limeaababishwa na TV na bulb
Natanguliza shukrani za dhati naamini kuna madaktari humu