- Thread starter
- #21
Wanasema kwa mujibu wao taratibu za kwenda nje ni mpaka washinde na kwa tatizo lake wanadai hawajashindwaSina uzoefu huo lkn nadhani hata huko hospitali alikoenda kutibiwa mkiuliza wanaweza kuwaelekeza taratibu za kwenda nje.
Ndio maana nataka nijie mifumo ili niwasukume wafanye maana kuna madaktar much know sana wabish mno CCBRT na MUHIMBILI wote wale wale tu