Matatizo ya macho low vision yaliyosababishwa na kuangalia TV

Sina uzoefu huo lkn nadhani hata huko hospitali alikoenda kutibiwa mkiuliza wanaweza kuwaelekeza taratibu za kwenda nje.
Wanasema kwa mujibu wao taratibu za kwenda nje ni mpaka washinde na kwa tatizo lake wanadai hawajashindwa

Ndio maana nataka nijie mifumo ili niwasukume wafanye maana kuna madaktar much know sana wabish mno CCBRT na MUHIMBILI wote wale wale tu
 
Wanasema kwa mujibu wao taratibu za kwenda nje ni mpaka washinde na kwa tatizo lake wanadai hawajashindwa

Ndio maana nataka nijie mifumo ili niwasukume wafanye maana kuna madaktar much know sana wabish mno CCBRT na MUHIMBILI wote wale wale tu
Aisee pole sana, endelea tu kufatilia utafanikiwa.
 
Tembelea hii link yao kila kitu unamalizana nao huko huko free shipping , afu sahiz wana offer 10% kidogo bei ipo chini https://barnerbrand.com/products/le-marais-black-noir-man

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Ndio ni kwel kwa mujibu wake ni km mvuke hv upo kwenye macho yke

Sasa naomba unisaidie io sindano inaitwaje na ulichomwa hospital gan ili tuweze kujaribu huko
Sio ya kawaida na ni gharama.na pia inaandikwa daktari,sio daktari tu..ni specialist..njoo pm nkutajie
 
Pm yako umefunga.so jumbe zinagoma
 
Nilichogundua wengi wanasumbuliwa na tatizo la UV rays (blue light) ambapo tatizo hilo ili kuweza kulidhibiti ni kutumia vifaa ambayo ni Uv light protector ikiwemo:
1. UV light protector glasses kwa ajili ya kuangalia simu , laptop na TV
2. UV light screen protector kwa ajili ya simu.

Hizi glasses naamini wengi tayari wanazifahamu, na kwenye simu kuna hizi screen protector, jinsi zilivyo ni kama screen protector za kawaida ila zinakuwa na kagiza flani hivi.
 

Matumizi ya hivi vitu vinasaidia kuepukana na kupunguza ukubwa wa tatizo.
Kwa upande wa glasses wala hazina bei kubwa. Makadirio ya chini ni kama elfu 10 na juu haizidi 20.
[emoji106]
 
Hili ni tatizo langu kabisa
 
Hospital gani mkuu ulienda??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…