Ragnar Fluke JF-Expert Member Joined May 22, 2012 Posts 374 Reaction score 116 Jan 16, 2013 #1 Dr mimi nna tatizo nkivaa viatu miguu huvimba maji baada ya mda kidogo uvimbe hutoa maji na kuacha vidonda na mabaka katika nyayo za miguu! Dr. tatizo langu linantesa sana naomba unsaidie kutatua huu utata.... Asanten kwa ushirikiano wenu.....
Dr mimi nna tatizo nkivaa viatu miguu huvimba maji baada ya mda kidogo uvimbe hutoa maji na kuacha vidonda na mabaka katika nyayo za miguu! Dr. tatizo langu linantesa sana naomba unsaidie kutatua huu utata.... Asanten kwa ushirikiano wenu.....
Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,315 Jan 16, 2013 #2 Kimsingi tatizo lako linaitwa leg ulcers.Linatokana na mzunguko mbaya wa damu na uzito.Tiba: Kula matunda,vit saumu,soya
Kimsingi tatizo lako linaitwa leg ulcers.Linatokana na mzunguko mbaya wa damu na uzito.Tiba: Kula matunda,vit saumu,soya
Ragnar Fluke JF-Expert Member Joined May 22, 2012 Posts 374 Reaction score 116 Jan 17, 2013 Thread starter #3 Asante pastor najtahd kufuata ushauri wako