Ragnar Fluke
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 374
- 116
Dr mimi nna tatizo nkivaa viatu miguu huvimba maji baada ya mda kidogo uvimbe hutoa maji na kuacha vidonda na mabaka katika nyayo za miguu! Dr. tatizo langu linantesa sana naomba unsaidie kutatua huu utata....
Asanten kwa ushirikiano wenu.....
Asanten kwa ushirikiano wenu.....