Matatizo ya miguu

Matatizo ya miguu

Ragnar Fluke

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
374
Reaction score
116
Dr mimi nna tatizo nkivaa viatu miguu huvimba maji baada ya mda kidogo uvimbe hutoa maji na kuacha vidonda na mabaka katika nyayo za miguu! Dr. tatizo langu linantesa sana naomba unsaidie kutatua huu utata....
Asanten kwa ushirikiano wenu.....
 
Kimsingi tatizo lako linaitwa leg ulcers.Linatokana na mzunguko mbaya wa damu na uzito.Tiba:
Kula matunda,vit saumu,soya
 
Back
Top Bottom