Matatizo ya Mzio (Allergies) Mbalimbali: Visababishi, Madhara, Kinga na Tiba

Mkuu naomba namna yakutibu allergy ya baridi kijana wangu anasumbuliwa sana wakati wa usiku akilala bila kujifunika au asubuhi sana
 
ubarikiwe asante kwa elimu unayotoa maadui zako washindwe na walegee.
 
shukrani bwana mzizi mkavu baada ya kutanguliza shukrani na salaamu
naomba hizi top ten herbs for allergies kwa lugha ya kiswahili .
 
Mkuu mzizi mkavu tupe hii Elimu hata Kwa kiswahili natanguliza shukraani.
 
Ndugu yangu wa karibu amekuwa akiwashwa ngozi na huwa akijikuna au akitoka kuoga akijifuta na taulo uacha alama kama zina michirizi ya damu uvimba kisha upotea baada ya muda mfupi, muda mwingine uwashwa akijikuna anapata michirizi ametumia dawa za allergies lakini hakuna mabadiliko unaweza tushauri atumie nini mtaalamu?
Herbalist Dr MziziMkavu
 
Ninashauri aende kupima damu huenda damu yake ni chafu ndipo inapo sababisha ajikune kune sana na pia apime ini lake je lipo sawa?
 
shukrani bwana mzizi mkavu baada ya kutanguliza shukrani na salaamu
naomba hizi top ten herbs for allergies kwa lugha ya kiswahili .
Dawa ya kutibu Mzio aka allergies chemsha majani ya upupu kwa dakika 20 kisha chuja kunyw akama chai pia unaweza kula kitunguu saumu punje moja asubuhi punje 1 mchana na punje 1 usiku kila siku kw amuda wa siku 7. na pia uwe unakula tund ala nanasi linasaidia kutibu mzio aka allergies.

Majani ya Upupu Majani ya mmea huu yanasalia kuwa mojawapo ya chaguo bora zaidi za kupunguza dalili za mzio. Ni matajiri katika carotene, vitamini K na quercetin na inaweza kuchukuliwa kwa namna ya chai au capsule. Kutoka kwa jaribio la kibinadamu la 2003, zaidi ya nusu
 
Mkuu mzizi mkavu tupe hii Elimu hata Kwa kiswahili natanguliza shukraani.
Dawa ya kutibu Mzio aka allergies chemsha majani ya upupu kwa dakika 20 kisha chuja kunyw akama chai pia unaweza kula kitunguu saumu punje moja asubuhi punje 1 mchana na punje 1 usiku kila siku kw amuda wa siku 7. na pia uwe unakula tund ala nanasi linasaidia kutibu mzio aka allergies.

Majani ya Upupu Majani ya mmea huu yanasalia kuwa mojawapo ya chaguo bora zaidi za kupunguza dalili za mzio. Ni matajiri katika carotene, vitamini K na quercetin na inaweza kuchukuliwa kwa namna ya chai au capsule. Kutoka kwa jaribio la kibinadamu la 2003, zaidi ya nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…