Matatizo ya nchi hii chanzo ni ndugu Nyerere

1985 wakati anataka kungatuka au hata 1992 wakati wa vyama vingi angehakikisha anatupatia KATIBA bora.
Sasa haya mambo yote ni matokeo ya kutuachia chaka aka CCM ambalo linameza watu kila uchao kisa tu kuwakosoa.

Kuhusu Katiba mpya mlaumu Kikwete.
 
Unaelewa maana ya baba wa Taifa?. Kwanini anaitwa baba wa Taifa?. Muasisi wa nchi lazima aitwe Baba wa Taifa unaenda au hupendi.
Mkuu usimlazimishe mtu kutambua jambo ambalo lipo wazi ila yeye ataki maana yake akubaliani nalo.
 
Yeye alishindwa nini jufa
nya mabadiliko?
Wewe upo hai leo, yeye alishakufa toka 1999, hayupo tena, wewe umechukua hatua gani kupambana na kurekebisha hayo mapungufu?

Wanaume wenzenu wanapigwa mabomu, akina Lissu wanafungwa kwa makesi ya kijinga wakipambana kurekebisha hayo mapungufu, nyie vijana wadogo mpo mitandaoni kuangalia matako ya wanawake halafu upo hapa unamtukana mtu aliyefanya mambo yake kwa njia zake na kwa wakati wake.

Hivi unafahamu kazi ya kuanza jambo? Nyie ndio wale vijana hata kuandika barua ya kuomba kazi hamuwezi mpaka uwe na sehemu ya kunakili.


​
 
Mkuu Kenya wananini cha maana?
 
Kwani mmekatazwa kubadilika? Mbona Wachina walibadilika baada ya Mao Tsetung kuondoka (kwa kifo). Nyie mmekatazwa hadi muendelee kumlaumu aliye mavumbini miaka mingi?
 
Mnaacha kumlaumu Rais aliyepo kwa ujinga anaoufanya mmebakia kulaumu mtu aliyestaafu miaka 40 iliyopita na kufariki miaka 26 iliyopita. Tatizo la Gen Z wanadhani wanajua kila kitu na kuanza kubweka. Mnashindwa kudai mabadiliko na kuwa chawa wa CCM halafu mnakuja hapa kupiga kelele bila aibu. Nyerere ndio chanzo Cha matatizo. Very stupid
 
Hahahaha, uzuri ni kwamba wa Tanzania karibia wote tuna tabia zinazo karibiana hata hao upinzani wanao Dhani watu wataongoza vzr ni hamna kitu.

Punguza unafiki wa kuongelea kitu usichokijua. Nchi imeongozwa na TANU na CCM mpaka Leo, ila unapenda kuitaja upinzani kwenye ujinga wenu. Upinzani haijawahi kuongoza hii nchi hivyo kuitaja ni unafiki mkubwa. Wewe itaje CCM inayokuongoza kila siku.
 
Kwani mmekatazwa kubadilika? Mbona Wachina walibadilika baada ya Mao Tsetung kuondoka (kwa kifo). Nyie mmekatazwa hadi muendelee kumlaumu aliye mavumbini miaka mingi?
Watu waoga, magoigoi na wasiojali lolote juu ya nchi yao wamekalia kumlaumu mtu ambaye hata mfupa wake leo hii ni wakutafuta hapa duniani.

Mtu atakuja amchukue mwanamke wako ndani na afanye nae ngono mbele yako umlaumu mzee Nyerere. Pambaneni, acheni ujinga.
​
 
Umemaliza Mkuu. Kuna mijitu akili zao ni battery very low.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…