Matatizo ya nchi hii chanzo ni ndugu Nyerere

Punguza unafiki wa kuongelea kitu usichokijua. Nchi imeongozwa na TANU na CCM mpaka Leo, ila unapenda kuitaja upinzani kwenye ujinga wenu. Upinzani haijawahi kuongoza hii nchi hivyo kuitaja ni unafiki mkubwa. Wewe itaje CCM inayokuongoza kila siku.
Wa pinzani walio weka na CCM yenyewe unakaa unapoteza mda kuwaamini?
 
Wanavyo vingi Kwani tz mnacho kipi Cha maana kuwazidi Kenya ukiachilia mbali rasilimali mlizojaliwa lakini Bado mmekumbwa na umasikini wa kunuka
Hahaha Kenya wanacho tushinda ni Kiingereza tu.
 
Hii na namna nyingine ya kumtetea Chura Kiziwi? Mchonga alikuwa ni dictator huo ni ukweli, alitupoteza muelekea wa kisiasa na pia wa kiuchumi. Alikengeuka kwenye mambo mengi mpaka yale ya kutaifisha shule za taasisi za kidini kitendo ambacho kilichangia kudidimia kwa ubora wa elimu hadi nchi imejaa watu wasiojitambua, sasa swali la msingi sisi tuliopo tunafanya nini kurudi kwenye njia sahihi kuanzia mfumo wa muungano, CCM(hili nalo ni tatizo kubwa) pomoja na mengine yote yasiyo sahihi? Je kinafanyika nini kuyarekebisha yasiyo sawa? Au ndiyo tuendelee tu kulalamika na kumlalamikia Nyerere ambaye tangu amefariki miaka mingi imeshapita?
 
Ipo news black out wakati CCM wanachaguana.

Ingekuwa mchakato huu unafanyika kwa uwazi labda tungeona Nyerere alikuwa anafahamu kitu kuhusu uongozi.

Kila siku tulikuwa tunafanya Uchaguzi Mkuu kwa amani. Sasa hivi watu wanafanya maombi ili tuwe na Uchaguzi wa amani. Tukishindwa kufanya Uchaguzi kwa amani itamaanisha kwamba we are less clever than our ancestors.

Mpaka sasa hatujui hatima ya Chadema kama tunafanya Uchaguzi bila Chadema au vipi. Ni mpaka definitive statement isemwe kuhusu Chadema ndipo Watanzania wataweza kupata picha kuhusu Uchaguzi wa aina gani unafuatia.

Vinginevyo tunakuwa tu,kama ilivyo sasa,na wapiga ramli wengi wanatabiri uovu.

Sasa hivi zinafanyika sala kugombea Uchaguzi wa amani.
 
Ni kawaida ya maskini wa akili hutafuta wa kumlaumu baada ya kutokuwa na hoja. Achana na baba wa Taifa letu amelifanyia mambo makubwa sn nchi yetu.
 
Ni kawaida ya maskini wa akili hutafuta wa kumlaumu baada ya kutokuwa na hoja. Achana na baba wa Taifa letu amelifanyia mambo makubwa sn nchi yetu.
Si sio masikini na sijawahi kuwa masikini namshukuru Mungu kwa hilo labda wewe na ukoo wenu huko
 
Mjina
Suala lolote linalomhusu Mwl. Nyerere siongei na wajinga na wapumbavu wasiomjua. Kama unamjua sana, poa. Kaongee na wenzako wanaomjua kama wewe.
mjinga na mpumbavu ni baba yako aliyezaa mshenzi kama wewe
 
Yeye anafuata misingi ya muasisi wa huo upumbavu
 
S asa kwanini mnalaumu Rais aliyeko madarakani kwa mambo yake anayoyafanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…