Matatizo yanayotokana ukosefu wa lishe bora kwa mtoto kipindi akiwa Tumboni na baada ya kuzaliwa

Matatizo yanayotokana ukosefu wa lishe bora kwa mtoto kipindi akiwa Tumboni na baada ya kuzaliwa

Avith almachius

Senior Member
Joined
Aug 20, 2022
Posts
101
Reaction score
40
Jamii nyingi za Kiafrika zinasumbuliwa na tatizo ugonjwa wa akili kwasabab nyingi moja ikiwemo.

1. Ukosefu wa lishe bora: Ambapo watoto wanakosa lishe wakina ndani na nje baada ya kuzaliwa ambapo inapelekea kuwepo na changamoto nyingi zinazosababishwa na matatizo ya kukosekana kwa Afya ya Akili kama ufaulu mdogoo katika suala zima la elimu pili kuongezeka watoto wa mtaani na madhara mengine mengi vipi wewe kama mdau na mhusika katika hili unatoa maoni gani?
 
Back
Top Bottom