Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya wamekufa watu. 150 ambao hawana hatia na kuna watu wanasema kumuua kafiri sio dhambi je ni mungu ndio anasema hivyo au watu wanajitungia na ilikuweje mungu aliumba kafiri kwanini asiwe anawasaidia hata makafiri wasiuwawe
Humjui Mungu we2,tatizo ni watu kutotii maagizo yake hayo ndiyo matokeo.Mrudieni Mungu.Ajali zinatokea kwa sababu gani?
ni kweli mkuuKatika mada ambazo zitakua na wachangiaji wachache ni hii yako mkuu hazole1 ni swali zito sana na ni swali muhimu sana!!ngoja nimalize kazi zangu nitarudi ila kwa kifupi navyojua mm mungu yupo neutral na hana emotions nikimaanisha huruma,furaha,kukasirika, ni sehemu ya emotions(mihemko),kwa sababu mungu hana hiyo sifa ndio maana kila kinachotokea kinatokea katika mechanism yake ya kimaumbile bila kuingiliwa na nguvu kutoka nje kwa mungu hakuna baya na zuri otherwise mambo kama haya yasingetokea ingawa dini nyingi zinamzungumzia mungu kama kiumbe chenye mihemko kuna time anakasirika kuna time anahuruma kama mungu angekua hivi dunia ingekua safi sana kusingekua na tajiri na masikini,walemavu na wazima,mzuri na mbaya ila kama nilivyoanza kusema mada hii ni nzuri ila ni ngumu sana kueleweka!!
Katika mada ambazo zitakua na wachangiaji wachache ni hii yako mkuu hazole1 ni swali zito sana na ni swali muhimu sana!!ngoja nimalize kazi zangu nitarudi ila kwa kifupi navyojua mm mungu yupo neutral na hana emotions nikimaanisha huruma,furaha,kukasirika, ni sehemu ya emotions(mihemko),kwa sababu mungu hana hiyo sifa ndio maana kila kinachotokea kinatokea katika mechanism yake ya kimaumbile bila kuingiliwa na nguvu kutoka nje kwa mungu hakuna baya na zuri otherwise mambo kama haya yasingetokea ingawa dini nyingi zinamzungumzia mungu kama kiumbe chenye mihemko kuna time anakasirika kuna time anahuruma kama mungu angekua hivi dunia ingekua safi sana kusingekua na tajiri na masikini,walemavu na wazima,mzuri na mbaya ila kama nilivyoanza kusema mada hii ni nzuri ila ni ngumu sana kueleweka!!
Kenya wamekufa watu. 150 ambao hawana hatia na kuna watu wanasema kumuua kafiri sio dhambi je ni mungu ndio anasema hivyo au watu wanajitungia na ilikuweje mungu aliumba kafiri kwanini asiwe anawasaidia hata makafiri wasiuwawe
Ni kweli mkuuLaiti mngalijua yale yaletayo amani...... my people are perish for the lack of knowledge...... Mungu hawezi ingilia uhuru wa mtu tena hasa kwa wale wasio mcha... .. angeingilia uhuru wako imagine leo mngemzungumziaje????
Hii mada inatakiwa ijibiwe Na mtu Mwenye ilimu ya kitabu aswa,,,ila hii ni mitihani ya M/mungu kwetu waja wake,,,ndo maana ht firauni aliwaua watoto wa kiume wa ban Israel kwa kuhofia Tu asije akazaliwa mtt wa kiume akaja poka ufalme wake Kama ilivyosemwa ktk vitabu vya dhama izo,,,lkn kumbe ule ulikuwa mtihani kwa bani Israel Ili Tu mungu atimize ujio wa nabii wake mussa, KWAIYO UENDA HAYA YANAYOTEKEA INAWEZEKANA NABII ISSA AU YESU,,YU KARIBU KURUDI KM ILIVYOSIMULIWA KTK VITABU VYA MUNGU,,,,,,,,PINGA UGAIDI HAUFAI.....
Kenya wamekufa watu. 150 ambao hawana hatia na kuna watu wanasema kumuua kafiri sio dhambi je ni mungu ndio anasema hivyo au watu wanajitungia na ilikuweje mungu aliumba kafiri kwanini asiwe anawasaidia hata makafiri wasiuwawe
wewe ni nani unaehoji? hivi huelewi kuwa matendo ya Mungu hayachunguziki???.
Yapo mambo mengi sana yamefichwa ili kupumbaza dunia na ulimwengu kwa ujumla. Ukitafakari sana na kutafuta majibu unaambiwa dhambi hayo ni mambo ya imani. Mfumo ndiyo ushajengwa kihivi ya kwanba ukitaka kutafuta na kujua ukweli ni dhambi. We amini tu bila kuhoji.
Ugumu zaidi unakuja pale ambapo mtoa mada anajichanganya Pasi na kuonyesha dunia wanayoishi mazombies ambao hawana free will na wenye usawa wa maumbile na fikra pia.
Maana katika dunia hii ambayo wale wavivu wa kufikiri hawaielewi Mungu aliumba na kuweka binadamu walio sawa huku wakiwa na fikra tofauti pamoja na mitazamo tofauti ikishadidiwa na Uhuru wa kuamua na kuchagua.
Na Uhuru wa kifikra ndiyo msingi wa tofauti zilizopo.