Match fixing in Tanzania is real

Match fixing in Tanzania is real

Yote haya kuna kichaa alitaka kuwaaminisha watu Singida angeifunga Yanga kwakuwa ana Wabrazil.
Hakuna cha match fixing, na timu zetu zikifanya vibaya kimataifa bado huwezi kusema eti match fixing ndio tatizo, kwani kila timu inayoshiriki lazima ifike makundi au fainali?
Kila nchi hapa Africa inatoa wawakilishi, je wakiishia hatua za mwanzo nao ni match fixing?
Hata ulaya nchi karibia zote zinashiriki UEFA lakin wanaofika hatua za makundi, robo, nusu ma fainali ni zile zile tunazozijua. Simba na Yanga bado hawajafanya uwekezaji wa kwenda kuwatisha Al Ahly, Wydad, Mamelody, Zamalek, tukiwafunga ni matokeo ya mpira tu kama inavyoweza kumtokea Madrid akafungwa na Sheriff au Barcelona akafungwa na Leicester City.
 
Kwan hili neno umelianzisha ww bwashee????
Mimi siyo shabiki wa simba. Nyinyi ndiyo waanzilishi. Baada ya porojo nyingine zote kukosa mashiko! Zikiwemo za bahasha za GSM, na kuhongwa waamuzi!

Sasa habari ya mjini ni match fixing! match fixed! fixed match! Ukiulizwa utoe ushahidi, huna!

Kiufupi hatunywi maji
 
Sasa,si wamezitoa timu zingine CAF na wote wako makundi? Au ya kimataifa ipi Tena unataka?
Acha mambo ya hovyo.Yaani Yanga apange matokeo kwa Singida big star au Kagera ! Simba apange matokeo kwa coastal union? Mbona wamecheza caf na wote wako makundi? Timu yako ikifungwa,tulia.
Naona umepiga jumla jumla. Wote wako makundi. Hutaki kuyatenganisha. Makusudi. Makundi ya CAF.
 
Sasa,si wamezitoa timu zingine CAF na wote wako makundi? Au ya kimataifa ipi Tena unataka?
Anamaanisha Kombe la dunia. Vichwa vingine ni vya kuacha kama vilivyo visikupe shida. Eti Yanga afanye match fixing na Kagera, timu inayojitafuta baada ya kumfukuza kocha Francis Baraza na kumpata Maxime ambaye hajainject falsafa yake ikaeleweka vema. Ni Kagera hawa wa 2-0Ht Vs Mbeya city kisha 2-2Ft.
Simba ifanye fixing na Coast inayojitafuta baada kumfukuza kocha na kumchukua Mgunda kama Day worker bila mkataba? Unafix nini wakati usajili Wenyewe unajionyesha?
 
Mimi siyo shabiki wa simba. Nyinyi ndiyo waanzilishi. Baada ya porojo nyingine zote kukosa mashiko! Zikiwemo za bahasha za GSM, na kuhongwa waamuzi!

Sasa habari ya mjini ni match fixing! match fixed! fixed match! Ukiulizwa utoe ushahidi, huna!

Kiufupi hatunywi maji
Kama tukiona viashiria vya kupanga matokeo lazima tuseme
 
Anamaanisha Kombe la dunia. Vichwa vingine ni vya kuacha kama vilivyo visikupe shida. Eti Yanga afanye match fixing na Kagera, timu inayojitafuta baada ya kumfukuza kocha Francis Baraza na kumpata Maxime ambaye hajainject falsafa yake ikaeleweka vema. Ni Kagera hawa wa 2-0Ht Vs Mbeya city kisha 2-2Ft.
Simba ifanye fixing na Coast inayojitafuta baada kumfukuza kocha na kumchukua Mgunda kama Day worker bila mkataba? Unafix nini wakati usajili Wenyewe unajionyesha?
Ndo maana nasema ,kama timu yako imefungwa ,tulia tu.
 
Bro ubora wa timu zako zipime kimataifa.

Matokeo ya NBC mara nyingi hayana uhalisia. Kozi Hata Katika usajili kuna tofauti kubwa tu na hizo timu zingine.
Hoja dhaifu, hata huko kimataifa Al Ahly, Mamelod, Wydad huwa wanatumia pesa kubwa kusajili..Ulaya kina Madrid, Psg, City huwa wanatumia mzigo mkubwa pia kwahiyo napo hakuna fair competition sasa kama issue ni usajili
 
Bro ubora wa timu zako zipime kimataifa.

Matokeo ya NBC mara nyingi hayana uhalisia. Kozi Hata Katika usajili kuna tofauti kubwa tu na hizo timu zingine.
Tena huko kimataifa match fixing ndo iko Kwa kiwango kikubwa mno, fatilia skendo ya Yule refa mkaburu wa South Africa alikataa mzigo mkubwa Sana wa Berkane ili awape matokeo, huyo ni mfano wa aliyekataa je waliyokubali ni wangapi??

Uliona walichofanyiwa Rivers United pale Libya? Uliona walichofanya Simba pale South Africa V Orlando? Uliona walichofanya Berkane V Tp Mazembe nusu final ya shirikisho msimu uliyopita??

Kiufupi mpira wa Africa ni mweusi si kwenye Ligi wala CAF competitions kusema eti timu uipime kimataifa ni upuuzi
 
Back
Top Bottom