Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekua nikiangalia karibu mechi nyingi za ligi na sijaona tatizo lolote la kuhusishwa na match fixing .Nakupa H/W Fuatilia hizo maches utakuja na majawabu mwenyewe
Tangu mlijue hilo neno match fixing, hatunywi maji!
Mimi siyo shabiki wa simba. Nyinyi ndiyo waanzilishi. Baada ya porojo nyingine zote kukosa mashiko! Zikiwemo za bahasha za GSM, na kuhongwa waamuzi!Kwan hili neno umelianzisha ww bwashee????
Sasa,si wamezitoa timu zingine CAF na wote wako makundi? Au ya kimataifa ipi Tena unataka?
Naona umepiga jumla jumla. Wote wako makundi. Hutaki kuyatenganisha. Makusudi. Makundi ya CAF.Acha mambo ya hovyo.Yaani Yanga apange matokeo kwa Singida big star au Kagera ! Simba apange matokeo kwa coastal union? Mbona wamecheza caf na wote wako makundi? Timu yako ikifungwa,tulia.
Yaa ,wote wamezitoa timu za nje halafu bado watu wanaleta longolongo.Naona umepiga jumla jumla. Wote wako makundi. Hutaki kuyatenganisha. Makusudi. Makundi ya CAF.
Za nje sio?. LuzaYaa ,wote wamezitoa timu za nje halafu bado watu wanaleta longolongo.
Ndiyo chifu,Anza na Zalan fc,big bullets,njoo kwa Club African ya Tunisia Tena huko kwao jijini Tunis na possession kedekede.Za nje sio?. Luza
Waambie walete timu laokama wanaona Singida kauza mechi. Unbeaten 47 lenyewe limechangia ngapi?Ndiyo chifu,Anza na Zalan fc,big bullets,njoo kwa Club African ya Tunisia Tena huko kwao jijini Tunis na possession kedekede.
Anamaanisha Kombe la dunia. Vichwa vingine ni vya kuacha kama vilivyo visikupe shida. Eti Yanga afanye match fixing na Kagera, timu inayojitafuta baada ya kumfukuza kocha Francis Baraza na kumpata Maxime ambaye hajainject falsafa yake ikaeleweka vema. Ni Kagera hawa wa 2-0Ht Vs Mbeya city kisha 2-2Ft.Sasa,si wamezitoa timu zingine CAF na wote wako makundi? Au ya kimataifa ipi Tena unataka?
Kama tukiona viashiria vya kupanga matokeo lazima tusemeMimi siyo shabiki wa simba. Nyinyi ndiyo waanzilishi. Baada ya porojo nyingine zote kukosa mashiko! Zikiwemo za bahasha za GSM, na kuhongwa waamuzi!
Sasa habari ya mjini ni match fixing! match fixed! fixed match! Ukiulizwa utoe ushahidi, huna!
Kiufupi hatunywi maji
Hawaelewi. Golikipa ndo ikuwa balaa tupu,bao la kichwa la mayele ni utata mtupuKaseke anapoteza pasi zote unategemea nini hapo. [emoji23][emoji23]
Ndo maana nasema ,kama timu yako imefungwa ,tulia tu.Anamaanisha Kombe la dunia. Vichwa vingine ni vya kuacha kama vilivyo visikupe shida. Eti Yanga afanye match fixing na Kagera, timu inayojitafuta baada ya kumfukuza kocha Francis Baraza na kumpata Maxime ambaye hajainject falsafa yake ikaeleweka vema. Ni Kagera hawa wa 2-0Ht Vs Mbeya city kisha 2-2Ft.
Simba ifanye fixing na Coast inayojitafuta baada kumfukuza kocha na kumchukua Mgunda kama Day worker bila mkataba? Unafix nini wakati usajili Wenyewe unajionyesha?
Hoja dhaifu, hata huko kimataifa Al Ahly, Mamelod, Wydad huwa wanatumia pesa kubwa kusajili..Ulaya kina Madrid, Psg, City huwa wanatumia mzigo mkubwa pia kwahiyo napo hakuna fair competition sasa kama issue ni usajiliBro ubora wa timu zako zipime kimataifa.
Matokeo ya NBC mara nyingi hayana uhalisia. Kozi Hata Katika usajili kuna tofauti kubwa tu na hizo timu zingine.
Tena huko kimataifa match fixing ndo iko Kwa kiwango kikubwa mno, fatilia skendo ya Yule refa mkaburu wa South Africa alikataa mzigo mkubwa Sana wa Berkane ili awape matokeo, huyo ni mfano wa aliyekataa je waliyokubali ni wangapi??Bro ubora wa timu zako zipime kimataifa.
Matokeo ya NBC mara nyingi hayana uhalisia. Kozi Hata Katika usajili kuna tofauti kubwa tu na hizo timu zingine.
Sasa kama unajua fitna zipo kwann useme tuzipime team huko kwenye fitna?? Think twice mkuuNi ngumu, ingekuwepo yanga asingetoboa.
Ila kule fitina nyingi lazima uwe mzoefu na mbabe pia.
Mkuu the real Burning Spear sio mjinga kama wewe una dhalilisha jina lakeHawaelewi. Golikipa ndo ikuwa balaa tupu,bao la kichwa la mayele ni utata mtupu
Achana na penalty ya Morrison dhidi ya geita gold.