The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
- Thread starter
-
- #41
Kwani kuna The burning spear mwingine tofauti na Mimi.?Mkuu the real Burning Spear sio mjinga kama wewe una dhalilisha jina lake
Huwezi kufananisha simba/yanga na hizo takataka mfano timu inamsajili Alikiba inategemea nini ...kugongwa tuHere it is.
1. Simba Vs Coastal unión
Vs Ruvu shooting
Vs Mtibwa sugar.
2.Yanga Vs Kagera sugar
Vs Toto Africans
Vs Singida Big stars.
The only way to determine the quality of Simba SC and Yanga SC is on international Matches.
Hilo nalo linahitaji ubishi?Kwani kuna The burning spear mwingine tofauti na Mimi.?
Hoja hupingwa Kwa hoja Acha mhemuko, Binafsi Bado naamini matokeo ya mpira wa bongo yamejaa maswali mengi.
Kuna referee alishadiclare ukibahatika kuchezesha mechi tano zinazohusu Simba au yanga Kwa msimu mmoja basi wewe ni tajiri.
Na Jana umesema, mbona viashiria vipo?Kama tukiona viashiria vya kupanga matokeo lazima tuseme