The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
- Thread starter
- #41
Kwani kuna The burning spear mwingine tofauti na Mimi.?Mkuu the real Burning Spear sio mjinga kama wewe una dhalilisha jina lake
Hoja hupingwa Kwa hoja Acha mhemuko, Binafsi Bado naamini matokeo ya mpira wa bongo yamejaa maswali mengi.
Kuna referee alishadiclare ukibahatika kuchezesha mechi tano zinazohusu Simba au yanga Kwa msimu mmoja basi wewe ni tajiri.