Match fixing in Tanzania is real

Match fixing in Tanzania is real

Here it is.

1. Simba Vs Coastal unión
Vs Ruvu shooting
Vs Mtibwa sugar.

2.Yanga Vs Kagera sugar
Vs Toto Africans
Vs Singida Big stars.

The only way to determine the quality of Simba SC and Yanga SC is on international Matches.
Acha mambo ya hovyo.Yaani Yanga apange matokeo kwa Singida big star au Kagera ! Simba apange matokeo kwa coastal union? Mbona wamecheza caf na wote wako makundi? Timu yako ikifungwa,tulia.
 
Bro ubora wa timu zako zipime kimataifa.

Matokeo ya NBC mara nyingi hayana uhalisia. Kozi Hata Katika usajili kuna tofauti kubwa tu na hizo timu zingine.
 
Here it is.

1. Simba Vs Coastal unión
Vs Ruvu shooting
Vs Mtibwa sugar.

2.Yanga Vs Kagera sugar
Vs Toto Africans
Vs Singida Big stars.

The only way to determine the quality of Simba SC and Yanga SC is on international Matches.
Sahihi kwa kiwango kikubwa , International matches ndo zinatupatia majibu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Bro ubora wa timu zako zipime kimataifa.

Matokeo ya NBC mara nyingi hayana uhalisia. Kozi Hata Katika usajili kuna tofauti kubwa tu na hizo timu zingine.
Sasa,si wamezitoa timu zingine CAF na wote wako makundi? Au ya kimataifa ipi Tena unataka?
 
Sijaja kuponda timu ya mtu hapá. Na sijasema hawachezi vizuri.

Ila nimesema kupima ubora wa Simba na yanga ni kimataifa.

Ligi ya ndani ina
mambo mengi sana.
 
Back
Top Bottom