Ila bongo kweli nyoso yan hakuna mzima,juzi kati tu Simba alipofuzu makundi CL mashabiki wa Simba wakawa wanaisifia timu yao na mashabiki wa yanga at the same time wakawa wanaikataa timu yao,very confusing set of fans in Tz,maono yanabadilika in a dayIfikie hatua sisi mashabiki wa Simba tukubali wenzetu wanatimu ya ushindani kuliko sisi. Uongozi wetu unatuangusha sana mashabiki wao. Wanajificha kwenye kivuli cha mafanikio ya miaka ya nyuma.
Kusifia sio tatizo, ila lazima kuna muda ufanye uchambuzi wa uhalisia ukiweka mbali hisia na mapenzi yetu. The way timu yetu inavyocheza haishawishi kuona mwanga ang'avu mbele.Ila bongo kweli nyoso yan hakuna mzima,juzi kati tu Simba alipofuzu makundi CL mashabiki wa Simba wakawa wanaisifia timu yao na mashabiki wa yanga at the same time wakawa wanaikataa timu yao,very confusing set of fans in Tz,maono yanabadilika in a day
Simba nyie ndio mlisema mgunda apewe mkataba na yanga wakasema hawamtaki Nabi,two weeks agoKusifia sio tatizo, ila lazima kuna muda ufanye uchambuzi wa uhalisia ukiweka mbali hisia na mapenzi yetu. The way timu yetu inavyocheza haishawishi kuona mwanga ang'avu mbele.
Tumekuwa ni watu wa kusubiri mpaka wenzetu wafanye vibaya, sisi tunatakiwa tushinde mechi zetu ikichagizwa na kiwango bora uwanjani.
Hawajawahi kujielewa hao mbumbumbu,walimuacha Kelvin Yondan wakamnunua Majabvi ,wakamuacha Tambwe wakamnunua Mavugo.Unaachana na Ndemla unabakia na Erasto nyoni
Unaachana Muhilu unabakia na kibu Denis
Unaachana na Thadeo lwanga unanunua Akpan
Unauza Bwalya unanunua okwa
Acheni Utani na Mpira wa Miguu ni Mchezo Wa Wazi.
Mbona Jana yule mbrazil Amelia?Kama mchezaji gani alilia? Tumia akili yanga ni bora hapa nchini kwasasa ndio maana hata ninyi simba na ukubwa wenu munapata wakati mgumu sana mbele ya yanga mnapokutana
Thomas Karume?Kabwili
Mtu Yeyote anayeisifia Simba Kwa Sasa ni Imbecile au insane.Ila bongo kweli nyoso yan hakuna mzima,juzi kati tu Simba alipofuzu makundi CL mashabiki wa Simba wakawa wanaisifia timu yao na mashabiki wa yanga at the same time wakawa wanaikataa timu yao,very confusing set of fans in Tz,maono yanabadilika in a day
Na Simba ikifungwa na yanga wachezaji huwa wanatabasamu piaMchezaji analia timu yake ikifungwa na simba, ila ikifungwa na yanga anatabasamu kama sio muamala ni ninini
Hawa viongozi wa Simba waondoke tuchague viongozi wapya sio Phiri peke yake hata Kanoute alichezewa rafu mbaya lakini yule mchezaji hata kadi hakupewa na nahodha wetu hata kumfata refa hamfatiJana Phiri kaumizwa mbele ya linesman rafu mbaya na linesman kakausha.huyo sako nadhani wanataka kumuua tu uwanjani
Unapomfunga mtu na kumpigia mpira mwingi lazma akubali saa nyie mnapata magoli ya dondokela lazma wapinzan wamind wanaona mmebahatishaMchezaji analia timu yake ikifungwa na simba, ila ikifungwa na yanga anatabasamu kama sio muamala ni ninini
Hii kitu inaharibu soka la nchi. Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa faulo za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.
Timu hizo hizo zikicheza na Yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu na hakuna mchezaji wa Yanga anayechezewa rafu kwa dk. 90.
TAKUKURU mmesinzia sana, mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa muamala ili kuinyonga Azam mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF?
Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu!
Very poor thinking! Nadhani hata Sima ichunguzwe, haiwezekani ifungwe na Yanga mfululizo! Nadhani, kuna hela hapa. Kwani, mara ya mwisho Simba kumfunga Yanga ni lini?Hii kitu inaharibu soka la nchi. Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa faulo za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.
Timu hizo hizo zikicheza na Yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu na hakuna mchezaji wa Yanga anayechezewa rafu kwa dk. 90.
TAKUKURU mmesinzia sana, mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa muamala ili kuinyonga Azam mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF?
Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu!
Nadhani hata mpira hufuatiliagi huyo Dario ukimcheki mechi zote huwa hakabi akipotezq mpirq huwa anatembea tu uwanjani.Mimi ni Yanga ila kuna wachezaji wa Singida Jana walikula pesa..Goli la tatu la Kibwana shomari linaongea yote, Winger Dario da Silva anamuangalia Mayele na kumsindikiza bila kukaba hadi anatoa assist kwa Kibwana Shomari halafu anajifanya analalamika..Haihitaji jicho la ziada kuona hilo tukio...Liangalieni lile goli na kama wewe si shabiki maandazi utaelewa pale kulikuwa kuna kitu
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Wewe shabiki wa Yanga au kolo,Acha kudanganya watuMimi ni Yanga ila kuna wachezaji wa Singida Jana walikula pesa..Goli la tatu la Kibwana shomari linaongea yote, Winger Dario da Silva anamuangalia Mayele na kumsindikiza bila kukaba hadi anatoa assist kwa Kibwana Shomari halafu anajifanya analalamika..Haihitaji jicho la ziada kuona hilo tukio...Liangalieni lile goli na kama wewe si shabiki maandazi utaelewa pale kulikuwa kuna kitu
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app