Match fixing,TAKUKURU wachunguzeni Yanga

Huwezi jua malengo ya hizo club kabsa ya msimu kuanza labda walipanga kuchukua points kwa Simba na hawakumuwazia Yanga
 
Ifikie hatua sisi mashabiki wa Simba tukubali wenzetu wanatimu ya ushindani kuliko sisi. Uongozi wetu unatuangusha sana mashabiki wao. Wanajificha kwenye kivuli cha mafanikio ya miaka ya nyuma.
Ila bongo kweli nyoso yan hakuna mzima,juzi kati tu Simba alipofuzu makundi CL mashabiki wa Simba wakawa wanaisifia timu yao na mashabiki wa yanga at the same time wakawa wanaikataa timu yao,very confusing set of fans in Tz,maono yanabadilika in a day
 
Kusifia sio tatizo, ila lazima kuna muda ufanye uchambuzi wa uhalisia ukiweka mbali hisia na mapenzi yetu. The way timu yetu inavyocheza haishawishi kuona mwanga ang'avu mbele.

Tumekuwa ni watu wa kusubiri mpaka wenzetu wafanye vibaya, sisi tunatakiwa tushinde mechi zetu ikichagizwa na kiwango bora uwanjani.
 
Simba nyie ndio mlisema mgunda apewe mkataba na yanga wakasema hawamtaki Nabi,two weeks ago
 
Unaachana na Ndemla unabakia na Erasto nyoni

Unaachana Muhilu unabakia na kibu Denis

Unaachana na Thadeo lwanga unanunua Akpan

Unauza Bwalya unanunua okwa

Acheni Utani na Mpira wa Miguu ni Mchezo Wa Wazi.
Hawajawahi kujielewa hao mbumbumbu,walimuacha Kelvin Yondan wakamnunua Majabvi ,wakamuacha Tambwe wakamnunua Mavugo.
 
Ila bongo kweli nyoso yan hakuna mzima,juzi kati tu Simba alipofuzu makundi CL mashabiki wa Simba wakawa wanaisifia timu yao na mashabiki wa yanga at the same time wakawa wanaikataa timu yao,very confusing set of fans in Tz,maono yanabadilika in a day
Mtu Yeyote anayeisifia Simba Kwa Sasa ni Imbecile au insane.
 
Jana Phiri kaumizwa mbele ya linesman rafu mbaya na linesman kakausha.huyo sako nadhani wanataka kumuua tu uwanjani
Hawa viongozi wa Simba waondoke tuchague viongozi wapya sio Phiri peke yake hata Kanoute alichezewa rafu mbaya lakini yule mchezaji hata kadi hakupewa na nahodha wetu hata kumfata refa hamfati
 
Hawa SBS si ndio walitupania mpaka wakamwumiza Banda Jana mbona walikuwa wanatembea hata kukaba hawakabi
 
Mchezaji analia timu yake ikifungwa na simba, ila ikifungwa na yanga anatabasamu kama sio muamala ni ninini
Unapomfunga mtu na kumpigia mpira mwingi lazma akubali saa nyie mnapata magoli ya dondokela lazma wapinzan wamind wanaona mmebahatisha
 
Hii kitu inaharibu soka la nchi. Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa faulo za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.

Timu hizo hizo zikicheza na Yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu na hakuna mchezaji wa Yanga anayechezewa rafu kwa dk. 90.

TAKUKURU mmesinzia sana, mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa muamala ili kuinyonga Azam mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF?

Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu!
 
Attachments

  • IMG-20221118-WA0002.jpg
    IMG-20221118-WA0002.jpg
    26.6 KB · Views: 4
  • IMG-20221118-WA0001.jpg
    IMG-20221118-WA0001.jpg
    115.5 KB · Views: 4
Hii kitu inaharibu soka la nchi. Timu zikicheza na Simba zinakamia na kuumiza wachezaji kwa faulo za makusudi na ikitokea zikafungwa wachezaji wa hizo timu mpaka wanalia baada ya mchezo.

Timu hizo hizo zikicheza na Yanga hata zifungwe magoli mangapi wachezaji wa hizo timu wanatoka uwanjani na tabasamu na hakuna mchezaji wa Yanga anayechezewa rafu kwa dk. 90.

TAKUKURU mmesinzia sana, mbona ushahidi upo kuwa Arajiga alitumiwa muamala ili kuinyonga Azam mpaka akafungiwa kimyakimya na TFF?

Kwa mwendo huu mnakula mishahara ya bure tu!
Very poor thinking! Nadhani hata Sima ichunguzwe, haiwezekani ifungwe na Yanga mfululizo! Nadhani, kuna hela hapa. Kwani, mara ya mwisho Simba kumfunga Yanga ni lini?
 
Itasikitisha sana, endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Mimi ni Yanga ila kuna wachezaji wa Singida Jana walikula pesa..Goli la tatu la Kibwana shomari linaongea yote, Winger Dario da Silva anamuangalia Mayele na kumsindikiza bila kukaba hadi anatoa assist kwa Kibwana Shomari halafu anajifanya analalamika..Haihitaji jicho la ziada kuona hilo tukio...Liangalieni lile goli na kama wewe si shabiki maandazi utaelewa pale kulikuwa kuna kitu

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani hata mpira hufuatiliagi huyo Dario ukimcheki mechi zote huwa hakabi akipotezq mpirq huwa anatembea tu uwanjani.
 
Mimi ni Yanga ila kuna wachezaji wa Singida Jana walikula pesa..Goli la tatu la Kibwana shomari linaongea yote, Winger Dario da Silva anamuangalia Mayele na kumsindikiza bila kukaba hadi anatoa assist kwa Kibwana Shomari halafu anajifanya analalamika..Haihitaji jicho la ziada kuona hilo tukio...Liangalieni lile goli na kama wewe si shabiki maandazi utaelewa pale kulikuwa kuna kitu

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Wewe shabiki wa Yanga au kolo,Acha kudanganya watu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom