Match ya mshindi wa tatu ngao ya jamii simba tayari kashajaza uwanja huko

Mpigania uhuru wa pili

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2023
Posts
3,380
Reaction score
6,376
Naambiwa hapa tayari ni full house kwa ile mechi inayoanza saa 9 hongereni sana mashabiki wa simba na uongozi wa simba kwa kuwahamasisha wanasimba na hasa kwa ahmed ally

Tunawaomba match yeny ikiisha mbaki na match ya Yanga vs azam sababu mashabiki wa Yanga ni wa-zito kwenye kujaza uwanja
 
Hiyo ni kaizer chiefs ya miaka ijayo inamashabiki wengi kuliko mamelod ila sasa mpira ulishawashinda wachezaji na makocha timu inashika mpaka nafasi ya 12

Leo hii kaizer chiefs inatafutiwa kocha na yanga ili itoke mavumbini hersi kawapelekea Nabi

Simba ipo njia hiyo hiyo

Hata Motsepe aliona mapema sana akaamua kuwapelekea Tuzo ya mashabiki bora wanaojaza uwanja sababu hali kama hiyo ipo huko kwao bondeni kwa watesi wake kaizer chiefs

Simba hawawezi kuelewa kwa sasa tusubili mwaka 2030
 
Naona uwanjani mshakubali kushindwa mmeamia kwenye mashindano ya kujaza uwanja sasa.

Ubora wa timu ni makombe na kutandaza kandanda safi, sio kujaza uwanja
 
Hiyo ni kaizer chiefs ya miaka ijayo inamashabiki wengi kuliko mamelod ila sasa mpira ulishawashinda wachezaji na makocha timu inashika mpaka nafasi ya 12

Leo hii kaizer chiefs inatafutiwa kocha na yanga ili itoke mavumbini hersi kawapelekea Nabi

Simba ipo njia hiyo hiyo

Hata Motsepe aliona mapema sana akaamua kuwapelekea Tuzo ya mashabiki bora wanaojaza uwanja sababu hali kama hiyo ipo huko kwao bondeni kwa watesi wake kaizer chiefs

Simba hawawezi kuelewa kwa sasa tusubili mwaka 2030
Muda utaongea...
 
Naambiwa hapa tayari ni full house kwa ile mechi inayoanza saa 9 hongereni sana mashabiki wa simba na uongozi wa simba kwa kuwahamasisha wanasimba na hasa kwa ahmed ally

Tunawaomba match yeny ikiisha mbaki na match ya Yanga vs azam sababu mashabiki wa Yanga ni wa-zito kwenye kujaza uwanja
Itabidi muandaliwe kombe la kujaza uwanja.
 
Back
Top Bottom