Match ya mshindi wa tatu ngao ya jamii simba tayari kashajaza uwanja huko

Match ya mshindi wa tatu ngao ya jamii simba tayari kashajaza uwanja huko

Jamani tuwe makini sana na vitu kama hivi,
Unaweza kujikuta unaingia kwenye matatizo bila kupenda na ndio shida ya watanzania wengi na inatuponza sana.
Unakuta mtu yupo seriously kabisa anasoma comment yangu badala andike ya kwake 😅
Aaahaaa
 
Du😁😁
 
Naona uwanjani mshakubali kushindwa mmeamia kwenye mashindano ya kujaza uwanja sasa.

Ubora wa timu ni makombe na kutandaza kandanda safi, sio kujaza uwanja
Mleta mada ni UTO PRO MAX, hapo anawananga simba
 
Na jina libadilike,
Jina lishazoeleka mkuu, wapo watu wananitag kwenye thread ambazo wanataka nitie neno, sasa nikibadilisha jina watapata shida kunipata na mimi masuala ya kiwa na id nyingi sio pigo zangu
 
Mbona hapa tunashuhudia uwanja ni mweupe hamna mashabiki
 
Naambiwa hapa tayari ni full house kwa ile mechi inayoanza saa 9 hongereni sana mashabiki wa simba na uongozi wa simba kwa kuwahamasisha wanasimba na hasa kwa ahmed ally

Tunawaomba match yeny ikiisha mbaki na match ya Yanga vs azam sababu mashabiki wa Yanga ni wa-zito kwenye kujaza uwanja
Naona full house hapa kwa mkapa, uwanja umejaa mpaka unamwagika
 
Back
Top Bottom