Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Naona uwanjani mshakubali kushindwa mmeamia kwenye mashindano ya kujaza uwanja sasa.Naambiwa hapa tayari ni full house kwa ile mechi inayoanza saa 9 hongereni sana mashabiki wa simba na uongozi wa simba kwa kuwahamasisha wanasimba na hasa kwa ahmed ally
Tunawaomba match yeny ikiisha mbaki na match ya Yanga vs azam sababu mashabiki wa Yanga ni wa-zito kwenye kujaza uwanja
😀😀😀😀 mechi ikiisha watoke wote, tutawarudishia viingilio vyaoUkilipia fainali, unapewa na ofa ya kuangalia mechi ya mshindi wa tatu.
Kweli kabisaNikiongea kiuchambuzi technically bila upendeleo simba wamemuacha yanga mbali sana
Muda utaongea...Hiyo ni kaizer chiefs ya miaka ijayo inamashabiki wengi kuliko mamelod ila sasa mpira ulishawashinda wachezaji na makocha timu inashika mpaka nafasi ya 12
Leo hii kaizer chiefs inatafutiwa kocha na yanga ili itoke mavumbini hersi kawapelekea Nabi
Simba ipo njia hiyo hiyo
Hata Motsepe aliona mapema sana akaamua kuwapelekea Tuzo ya mashabiki bora wanaojaza uwanja sababu hali kama hiyo ipo huko kwao bondeni kwa watesi wake kaizer chiefs
Simba hawawezi kuelewa kwa sasa tusubili mwaka 2030
Kwendraaa
Na wote tuseme ameeeen🤣🤣🤣Kweli nafasi ya tatu wamepania, na hakuna wa kuwatoa kwenye hiyo nafasi miaka kumi mfululu
Wamemuacha kwenye nini? bila juhudi za refa juzi mnesambaana mapema goli mbili zimekataliwa na clear penaltyNikiongea kiuchambuzi technically bila upendeleo simba wamemuacha yanga mbali sana
Itabidi muandaliwe kombe la kujaza uwanja.Naambiwa hapa tayari ni full house kwa ile mechi inayoanza saa 9 hongereni sana mashabiki wa simba na uongozi wa simba kwa kuwahamasisha wanasimba na hasa kwa ahmed ally
Tunawaomba match yeny ikiisha mbaki na match ya Yanga vs azam sababu mashabiki wa Yanga ni wa-zito kwenye kujaza uwanja
Kwenye AFL ndio walikua timu ya kwanza kutoka wakapewa kombe la kujaza uwanjaItabidi muandaliwe kombe la kujaza uwanja.