Match ya mshindi wa tatu ngao ya jamii simba tayari kashajaza uwanja huko

Kwani kuna aliyeenda kuangalia mechi ya mshindi wa 3? Mbona mnajipa umuhimu msiokuwa nao?

Watu wamewahi kuangalia bonanza la bure kabla ya muda wa fainali ambayo ndiyo hasa iliyouza tiketi, kiufupi mechi ya mshindi wa 3 ni bonus kwa walionunua tiketi.

Kwako Mdakuzi
 
Mnajaza uwanja kwenda kushangilia nafasi ya tatu?
Makolozidad mnatia huruma sana 😂😂😂
 
Its raining 😞
Hata Azam na Uto hautakuwa na mashabiki
 
Leta picha kutuaminisha taarifa yako...maana Coastal union na simba wanafanana jezi
 
Mashabiki wa Simba wafanye watoke game yao ikiisha
 
Kweli nafasi ya tatu wamepania, na hakuna wa kuwatoa kwenye hiyo nafasi miaka kumi mfululu
Simba watatumia.mchezo wa leo kama pre season - nafikiri mwalimu atakuja na changes kama 6 hadi 7 za wale walioanza na Yanga.
 
Halafu hukawawii kusikia wapo ya nafasi ya nne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…