AaahaaaJamani tuwe makini sana na vitu kama hivi,
Unaweza kujikuta unaingia kwenye matatizo bila kupenda na ndio shida ya watanzania wengi na inatuponza sana.
Unakuta mtu yupo seriously kabisa anasoma comment yangu badala andike ya kwake 😅
Du😁😁Jamani tuwe makini sana na vitu kama hivi,
Unaweza kujikuta unaingia kwenye matatizo bila kupenda na ndio shida ya watanzania wengi na inatuponza sana.
Unakuta mtu yupo seriously kabisa anasoma comment yangu badala andike ya kwake 😅
Mleta mada ni UTO PRO MAX, hapo anawananga simbaNaona uwanjani mshakubali kushindwa mmeamia kwenye mashindano ya kujaza uwanja sasa.
Ubora wa timu ni makombe na kutandaza kandanda safi, sio kujaza uwanja
Mechi ishaisha halafu mrudishe viingilio?😀😀😀😀 mechi ikiisha watoke wote, tutawarudishia viingilio vyao
Wakigoma kutoka nje kwa mujibu ya comment ya jamaa, tunawarudishia viingilio vyaoMechi ishaisha halafu mrudishe viingilio?
Wewe huna Ajira halafu bado unataka kuwarudishia watu viingilioWakigoma kutoka nje kwa mujibu ya comment ya jamaa, tunawarudishia viingilio vyao
Kwakua Simba watoto wanajambo lao hapo uwanjani baada ya mechi yao.Hiyo match ya mshindi wa tatu kwa nini isingepelekwa Zanzibar uwanja wa Amaan
Iyo user name nimeanza kuitumia muda mrefu mkuu, maisha yanabadilika.Wewe huna Ajira halafu bado unataka kuwarudishia watu viingilio
Na jina libadilike,Iyo user name nimeanza kuitumia muda mrefu mkuu, maisha yanabadilika.
Jina lishazoeleka mkuu, wapo watu wananitag kwenye thread ambazo wanataka nitie neno, sasa nikibadilisha jina watapata shida kunipata na mimi masuala ya kiwa na id nyingi sio pigo zanguNa jina libadilike,
Naona full house hapa kwa mkapa, uwanja umejaa mpaka unamwagikaNaambiwa hapa tayari ni full house kwa ile mechi inayoanza saa 9 hongereni sana mashabiki wa simba na uongozi wa simba kwa kuwahamasisha wanasimba na hasa kwa ahmed ally
Tunawaomba match yeny ikiisha mbaki na match ya Yanga vs azam sababu mashabiki wa Yanga ni wa-zito kwenye kujaza uwanja
Ni kweli kabisa. Hii mechi ingechezwa uwanja tofauti siku moja kabla ya fainali. Hata kimapato TFF ingefaidika zaidi.Hiyo match ya mshindi wa tatu kwa nini isingepelekwa Zanzibar uwanja wa Amaan
Pale nahisi pamejaa mabolizozo hawafikirii sawasawaNi kweli kabisa. Hii mechi ingechezwa uwanja tofauti siku moja kabla ya fainali. Hata kimapato TFF ingefaidika zaidi.