Mate na vvu

Mate na vvu

sleyum2

Member
Joined
Sep 6, 2017
Posts
13
Reaction score
2
Habari za kazi wanajamii nauliza swali na tunahitaji majibu mimi na rafiki yangu tulikuwa tunazungumza kwa mbali kidogo kama umbali wa menza ya kulia chakula basi wakati anaongea nikahisi tembe ya mate yake yameingia kwenye ulimi wangu mdomoni na yeye anatumia ARV yaani nimuathirika naomba maaada wa majibu naombeni tuwe makini na hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaushauri zaidi nenda kwenye google search helplivevancouver utapat ajibu yako kamili ila mate usihofu kwani yana enzme zinazoua vvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za kazi wanajamii nauliza swali n tunahitaji majibu mimi na rafiki yangu tulikuwa tunazungumza kwa mbali kidogo kama umbali wa menza ya kulia chakula basi wakati anaongea nikahisi tembe ya mate yakr yameingia kwenye ulimi wangu mdomoni na yeye anatumia ARV yaani niuathirika naomba maaada wa majibu naombeni tuwe makini na hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaushauri zaidi nenda kwenye google search helplivevancouver utapat ajibu yako kamili ila mate usihofu kwani yana enzme zinazoua vvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mate mpaka kupata vvu unatakiwa unywe lita 3 wengine wanasema 5 ambao ni wanasayansi

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe unakumbuka kubadili ID, maana ni wazi unazo zaidi ya mbili!
Yaani unauliza alafu unajicomment kujishauri??
 
Umeamua kujijibu mwenyewe?
Hahahaha nimecheka mpk nyagi imetaka kunipalia... khaaa!

Hawa watoto hawa... Ee Mungu tunusuru

BTW ushaanza kale ka homework ketu? Mi nshacheki na Chidi kakubali kufanya kolabo na sisi. Tupac ushacheki naye?
 
Hhaahhhh utamuelewa manake english aliyotumia ni kama ile ya form two biology,about HIV
Binti angu ako darasa la nne... anajua ABCs za hili gonjwa... afu huyu bwege anauliza swali la kitoto ambalo hata mtoto wa nursery school angeweza kulijibu kwa ufasaha kabisa

Ama kweli hivi sasa JF kuna great thinkers na great sinkers!
 
Hahahaha nimecheka mpk nyagi imetaka kunipalia... khaaa!

Hawa watoto hawa... Ee Mungu tunusuru

BTW ushaanza kale ka homework ketu? Mi nshacheki na Chidi kakubali kufanya kolabo na sisi. Tupac ushacheki naye?
Teh!hata mi nilivyosoma alivyojijibu nikaduwaa kwa kweli
Nimeshangaa hadi muda wa kucheka nikaukosa eti

Ndo nipo na 2pac hapa tunajadili tukisindikizwa na cha Arusha
Ila anaelekea kunielewa
 
Back
Top Bottom