sleyum2
Member
- Sep 6, 2017
- 13
- 2
Habari za kazi wanajamii nauliza swali na tunahitaji majibu mimi na rafiki yangu tulikuwa tunazungumza kwa mbali kidogo kama umbali wa menza ya kulia chakula basi wakati anaongea nikahisi tembe ya mate yake yameingia kwenye ulimi wangu mdomoni na yeye anatumia ARV yaani nimuathirika naomba maaada wa majibu naombeni tuwe makini na hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app