Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Basi safi kabisa. Bob Marley kanihakikishia atarusha mistari minne...Teh!hata mi nilivyosoma alivyojijibu nikaduwaa kwa kweli
Nimeshangaa hadi muda wa kucheka nikaukosa eti
Ndo nipo na 2pac hapa tunajadili tukisindikizwa na cha Arusha
Ila anaelekea kunielewa