Mate na vvu

Mate na vvu

Teh!hata mi nilivyosoma alivyojijibu nikaduwaa kwa kweli
Nimeshangaa hadi muda wa kucheka nikaukosa eti

Ndo nipo na 2pac hapa tunajadili tukisindikizwa na cha Arusha
Ila anaelekea kunielewa
Basi safi kabisa. Bob Marley kanihakikishia atarusha mistari minne...
 
Binti angu ako darasa la nne... anajua ABCs za hili gonjwa... afu huyu bwege anauliza swali la kitoto ambalo hata mtoto wa nursery school angeweza kulijibu kwa ufasaha kabisa

Ama kweli hivi sasa JF kuna great thinkers na great sinkers!
Huwenda anaufahamu vizuri ila anajaribu kutupima kama na sisi tunauelewa
 
Teh!hata mi nilivyosoma alivyojijibu nikaduwaa kwa kweli
Nimeshangaa hadi muda wa kucheka nikaukosa eti

Ndo nipo na 2pac hapa tunajadili tukisindikizwa na cha Arusha
Ila anaelekea kunielewa
Na wewe utakuwemo kwenye album mpya? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada umenivunja mbavu unaanzisha thread mwenyewe halafu unajishauri mwenyewe na baada ya muda unajishtukia
 
kuna usemi huu "MAJI MAJI YOYOTE YALIYOPO MWILINI NI MAKAZI YA VIRUSI"
 
duh nimecheka mnooo asubuhii hiii tena kwa nguvu baada ya kushtukiwa nikaamua kupiga chafyaaa na kujikohoza...

hi thiredi iwekwe stiki baadae nicheke tena...ama kuna wachawi kweli
 
Back
Top Bottom