Umeamua kujijibu mwenyewe?Kwaushauri zaidi nenda kwenye google search helplivevancouver utapat ajibu yako kamili ila mate usihofu kwani yana enzme zinazoua vvu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua kajichanganya huyu akitegemea yupo kwenye id ingine nimeshindwa kujizuia kucheke yani dahUmeamua kujijibu mwenyewe?
Inawezekana e?sikufikiria hiloItakua kajichanganya huyu akitegemea yupo kwenye id ingine nimeshindwa kujizuia kucheke yani dah
Nije utanitafsiria?Inawezekana e?sikufikiria hilo
Kaanzisha thread nyingine ya maelezo kama haya ila kajaribu kutuelezea kwa kingereza
Habari za kazi wanajamii nauliza swali n tunahitaji majibu mimi na rafiki yangu tulikuwa tunazungumza kwa mbali kidogo kama umbali wa menza ya kulia chakula basi wakati anaongea nikahisi tembe ya mate yakr yameingia kwenye ulimi wangu mdomoni na yeye anatumia ARV yaani niuathirika naomba maaada wa majibu naombeni tuwe makini na hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaushauri zaidi nenda kwenye google search helplivevancouver utapat ajibu yako kamili ila mate usihofu kwani yana enzme zinazoua vvu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe unakumbuka kubadili ID, maana ni wazi unazo zaidi ya mbili!Mate mpaka kupata vvu unatakiwa unywe lita 3 wengine wanasema 5 ambao ni wanasayansi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umeshajijibu
Hahahaha nimecheka mpk nyagi imetaka kunipalia... khaaa!Umeamua kujijibu mwenyewe?
Hhaahhhh utamuelewa manake english aliyotumia ni kama ile ya form two biology,about HIVNije utanitafsiria?
hahahaaa nilipigwa butwaa nilipoona anajishauri mwenyeweUmeamua kujijibu mwenyewe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] inatosha mama muache mwenzio amechanganyikiwaMbona umeshajijibu
Binti angu ako darasa la nne... anajua ABCs za hili gonjwa... afu huyu bwege anauliza swali la kitoto ambalo hata mtoto wa nursery school angeweza kulijibu kwa ufasaha kabisaHhaahhhh utamuelewa manake english aliyotumia ni kama ile ya form two biology,about HIV
Teh!hata mi nilivyosoma alivyojijibu nikaduwaa kwa kweliHahahaha nimecheka mpk nyagi imetaka kunipalia... khaaa!
Hawa watoto hawa... Ee Mungu tunusuru
BTW ushaanza kale ka homework ketu? Mi nshacheki na Chidi kakubali kufanya kolabo na sisi. Tupac ushacheki naye?