Basi safi kabisa. Bob Marley kanihakikishia atarusha mistari minne...Teh!hata mi nilivyosoma alivyojijibu nikaduwaa kwa kweli
Nimeshangaa hadi muda wa kucheka nikaukosa eti
Ndo nipo na 2pac hapa tunajadili tukisindikizwa na cha Arusha
Ila anaelekea kunielewa
Huwenda anaufahamu vizuri ila anajaribu kutupima kama na sisi tunauelewaBinti angu ako darasa la nne... anajua ABCs za hili gonjwa... afu huyu bwege anauliza swali la kitoto ambalo hata mtoto wa nursery school angeweza kulijibu kwa ufasaha kabisa
Ama kweli hivi sasa JF kuna great thinkers na great sinkers!
Inaonekana ww unamiliki id zaidi ya moja maana c kwa majibu haya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwaushauri zaidi nenda kwenye google search helplivevancouver utapat ajibu yako kamili ila mate usihofu kwani yana enzme zinazoua vvu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh!kweli kachanganyikiwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] inatosha mama muache mwenzio amechanganyikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe utakuwemo kwenye album mpya? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh!hata mi nilivyosoma alivyojijibu nikaduwaa kwa kweli
Nimeshangaa hadi muda wa kucheka nikaukosa eti
Ndo nipo na 2pac hapa tunajadili tukisindikizwa na cha Arusha
Ila anaelekea kunielewa
HahahhahhhSio kwa mtindo huu bhana...
Afu kaswali haka si ka kupima watu uelewa...
Kajamaa ni kabwege... #sorrytosay#
Teh!nakosaje jamaniNa wewe utakuwemo kwenye album mpya? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoo ata apo ni mbali sanaHhaahhhh utamuelewa manake english aliyotumia ni kama ile ya form two biology,about HIV
sijakuelewa mkuu2nd Id ni moneytalk
from Katesh using Siemens C55
Wacwac wake tu huyo na kutuchezea akili sieUmeamua kujijibu mwenyewe?
Nahisi hiki kituko hakijawahi toka jf ianzee jamaa kaji-mix kama mchuzi wa royko