Nahisi hiki kituko hakijawahi toka jf ianzee jamaa kaji-mix kama mchuzi wa royko
post using my macbook air using jamiiforums app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akizan anacheza na akili zetu kumb anaj sumbua tuUwe unakumbuka kubadili ID, maana ni wazi unazo zaidi ya mbili!
Yaani unauliza alafu unajicomment kujishauri??
Nasikia mwathirika anayetumia dawa za kupunguza makali hawezi kumuambukiza mtu ambaye hajaathirikamate kama mate hayawez kukuambukiza ukimw
ukimwi ni kupitia blood contact kat ya mwathirika na asie mwathirika
Sent using Jamii Forums mobile app
endelea kusikia ila usije ukafanya majaribio. ndio maana kama muathirika ameoa au kuooewa wanashauriwa kufanya ngono salamaNasikia mwathirika anayetumia dawa za kupunguza makali hawezi kumuambukiza mtu ambaye hajaathirika
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23]Itakua kajichanganya huyu akitegemea yupo kwenye id ingine nimeshindwa kujizuia kucheke yani dah