SHAMAC
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,343
- 3,561
Nahisi hiki kituko hakijawahi toka jf ianzee jamaa kaji-mix kama mchuzi wa royko
post using my macbook air using jamiiforums app
Vimetokea vingi sana zaidi ya hivi. Kuna jamaa alianzisha thread inasema "Ana makalio makubwa hadi anashindwa kutembea" Siku ya siku ID zake zikaunganishwa, Jamaa mzee mzima akaumbuka wala sio binti.