Habar wanaJF,
Nina tatizo la kukaukiwa mate usiku nikiwa nimelala na kusababisha ulimi kuwa mkavu sana na kukakamaa hivyo nikishtuka toka usingizini hali hiyo inanitatiza sana na kinywa huwa kikavu kuliko kawaida.
Nisaidieni jinsi ya kujitibu na nini hasa chanzo/sababu yake maana tatizo lina muda kama miezi sita hivi!
Msaada tafadhali.