Mate yanakauka sana usiku

Mate yanakauka sana usiku

SHAKIULA

Senior Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
121
Reaction score
24
Habar wanaJF,

Nina tatizo la kukaukiwa mate usiku nikiwa nimelala na kusababisha ulimi kuwa mkavu sana na kukakamaa hivyo nikishtuka toka usingizini hali hiyo inanitatiza sana na kinywa huwa kikavu kuliko kawaida.

Nisaidieni jinsi ya kujitibu na nini hasa chanzo/sababu yake maana tatizo lina muda kama miezi sita hivi!

Msaada tafadhali.
 
Moja....Uenda unapolala hua unaachama yani mdomo unakua wazi...
wengine wataendelea...
 
Hiyo ni dalili ya kula dawa bila maelekezo ya daktari. Itakuwa ini limefunikwa na mafuta yaliyosababishwa na dawa ulizokula kiholela. Tafuta dawa za kuondoa mafuta kwenye ini tatizo litakwisha
 
Back
Top Bottom