Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Nimejaribu kusoma sijaelewa kitu kuna anyone aliyeelewa anieleweshe... kuna watu wanaandika huku wamepaniki... umekuja jf utapata hasira sana dogo kama hukuwahi kutana na watu wenye IQ Kubwa wasio pendelea uongo na upumbavu wa makundi ya kijihadiMilokole unaweza kwa kutumia kichwa kweli yani wewe ndio Useme HAMAS Familia iliopata msiba
tamko lao limepiga marufuku kiongozi yoyote wa Serikali asifike kwenye msiba Wao!!?? pamoja na GAID MKUU NETANYAHU unajua kwann!!??
wa uko Kibati ndani ndani bado unaimba HAMAS wa Israel Wamebadilika wamejua kichefuchefu Nani!!!!! HAMAS ndio TAIFA Teule Og utaelewa tu