Mateka wa Israel walitaka kusalia Gaza lakini Hamas walikataa

Mateka wa Israel walitaka kusalia Gaza lakini Hamas walikataa

Yahoo News UK

Cigarette-starved prisoners smoking pages from the BIBLE filled with tea bags

Yahoo News UK

9beb28309412609aa122ae330e610b1f

Smoking bans in four UK jails have seen inmates turn to bizarre creations to feed their addiction.
Prisoners who are desperate for nicotine have resorted to paying £10 for cigarettes made with tea bags stuffed into Bible paper.
The tea bags are mixed with nicotine patch glue and the Bible pages are used as paper to roll up the make-shift sticks.
ad7418e385b57df66a343df6ca47b94f

Nicotine: Prisons across Britain are facing a smoking ban (Rex)

Inmates have been forced to take the drastic measures after the cigarette bans were introduced to HMPs Exeter, Channings Wood, Dartmoor and Eriestoke.ADVERTISEMENT

However, the the Ministry of Justice plans to extend the ban to prisons across the country.
The Bible cigarettes are reportedly even harder to get hold of than drugs, some of which have led to nearly 60 deaths in UK jails.
Letters, blotting paper and magazines are being soaked in former legal highs and smuggled inside, according to Steve Gillan, chairman of the Prison Officers Association.

You worshiper of satan baal

View: https://youtu.be/0Fv_3j4-VaY?si=CVzdZKh3LAvCzl-D
 
Mahaba hayo.

Mabinti walikutana na vidume vya kweli, kwanini isiwe hivyo?
Kwamba huyo Muisrael alikua anawalomba mabinti wa kipalestina? Au sijaelewa?

Ni ngumu kuchangia maada hi cause ipo too short, haielezi why wengine walibaki while huyu Emy kafunguliwa, tunaweza kuyengeneza hypothesis nyingi. Kaka Ritz njoo na taarifa kamili, kwasasa umeacha maswali mengi mno
 
Wanaukumbi.

The Hebrew Channel 12 reports:

The Zionist prisoner "Emily Damari" who was released by the resistance last week asked to remain in captivity and release another prisoner in her place, but Hamas refused.
=========================
Idhaa ya Kiebrania 12 inaripoti

Mfungwa wa Kizayuni "Emily Damari" ambaye aliachiliwa na upinzani wiki iliyopita aliomba kubaki kifungoni na kumwachilia mfungwa mwingine mahali pake, lakini Hamas ilikataa.

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1885761031592407433?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Mujahidina ngoja tuwe tuna-tag post zako kwa Trump sasa kwa sababu kuna siku utajifunga bomu ukidhani unawahi mabikra huko akhera kwenu...
 
Mujahidina ngoja tuwe tuna-tag post zako kwa Trump sasa kwa sababu kuna siku utajifunga bomu ukidhani unawahi mabikra huko akhera kwenu...
Mlokole kachafukwa pole ulipoumia Dini ya kislamu aitaji propaganda yenyewe itajitangaza
umeona Mama wa kisrael anawashukulu Hamas walimtunza vizuli tena Akiwa ndani ya Israel
toka iyo siku migaid ya Israel awataki tena wanaochiwa waojiwe Live

kazi yakudanganya na Ukweli uwa avikai Pamoja!! Magaid ya Israel Wauwaji wa Watoto vichanga!!! Wameona wafiche Ukweli ili Wabaki na Uwongo wao kuwa Hamas ni waovu!!!!

MATENDO TU YA HAMAS yameafanya ulimwengu utake kujua nini kuusu Dini ya UISLAM VIpi awa watu Wameuwawa 45000 lkn wao wakawatunza waisrael kias wameachiwa lkn
Wamenyimwa uko Israel wasiongee na MEDIA Akika mungu mkubwa. Ukweli na uwongo uwa vinajitenga avikai pamoja funzo kubwa tumeona kwa macho yetu!@
 
Wanaukumbi.

The Hebrew Channel 12 reports:

The Zionist prisoner "Emily Damari" who was released by the resistance last week asked to remain in captivity and release another prisoner in her place, but Hamas refused.
=========================
Idhaa ya Kiebrania 12 inaripoti

Mfungwa wa Kizayuni "Emily Damari" ambaye aliachiliwa na upinzani wiki iliyopita aliomba kubaki kifungoni na kumwachilia mfungwa mwingine mahali pake, lakini Hamas ilikataa.

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1885761031592407433?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Ukizaliwa muongo utakuwa muongo na utakufa muongo.
Wapalestina wanaramani waondoke Gaza, alafu wayahudi watamani kubaki Gaza!
 
Mlokole kachafukwa pole ulipoumia Dini ya kislamu aitaji propaganda yenyewe itajitangaza
umeona Mama wa kisrael anawashukulu Hamas walimtunza vizuli tena Akiwa ndani ya Israel
toka iyo siku migaid ya Israel awataki tena wanaochiwa waojiwe Live

kazi yakudanganya na Ukweli uwa avikai Pamoja!! Magaid ya Israel Wauwaji wa Watoto vichanga!!! Wameona wafiche Ukweli ili Wabaki na Uwongo wao kuwa Hamas ni waovu!!!!

MATENDO TU YA HAMAS yameafanya ulimwengu utake kujua nini kuusu Dini ya UISLAM VIpi awa watu Wameuwawa 45000 lkn wao wakawatunza waisrael kias waneachiwa
Wananyimwa uko Israel wasiongee na MEDIA Akika mungu mkubwa. Ukweli na uwongo uwa vinajitenga avikai pamoja funzo kubwa tumeona kwa macho yetu!@
Kajifunze kuandika maneno ya kiswahili kwa ufasaha kwanza ndiyo urudi kutoa hoja.
 
Kwamba huyo Muisrael alikua anawalomba mabinti wa kipalestina? Au sijaelewa?

Ni ngumu kuchangia maada hi cause ipo too short, haielezi why wengine walibaki while huyu Emy kafunguliwa, tunaweza kuyengeneza hypothesis nyingi. Kaka Ritz njoo na taarifa kamili, kwasasa umeacha maswali mengi mno

Picha zinaongea zaidi ya maneno.

Kajifunze kuandika maneno ya kiswahili kwa ufasaha kwanza ndiyo urudi kutoa hoja.
Itakusaidia nini mnunua Udongo ww mdanganyika Iman yko Yenyewe inategemea Msaada wa uwongo ili Ibaki kama ilivo!!!
 
Wanaukumbi.

The Hebrew Channel 12 reports:

The Zionist prisoner "Emily Damari" who was released by the resistance last week asked to remain in captivity and release another prisoner in her place, but Hamas refused.
=========================
Idhaa ya Kiebrania 12 inaripoti

Mfungwa wa Kizayuni "Emily Damari" ambaye aliachiliwa na upinzani wiki iliyopita aliomba kubaki kifungoni na kumwachilia mfungwa mwingine mahali pake, lakini Hamas ilikataa.

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1885761031592407433?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Alionesha kuwa ana upendo kwa mwenzie na si mbinafsi. Wengine huwa wanataka waachiliwe wanawake au wazee/watoto kwanza kuonesha upendo na kujali. Hapo inaonesha hawa mayahudi wanapendana na kuheshimiana sana. Ni kuwa hana ubinafsi.
 
Picha zinaongea zaidi ya maneno.

View attachment 3224171
Tabasam la bint limetokea kwenye mbunye mojakwamoja!!!!! Uyu muisrael wa Bonyokwa! Looo inamuuma pole! We endelea kulima miogo na ulokole wako Unadhani ungesimama ww uyo Bint angekupenda!!!
kisa Unajiona naww muisrael w Bonyokwa!!! nyie walokole mwendelee tu kufunga muwaombee kuimba Taifa teule na kuinua juu kupepea Bendera ya Israel ndio kazi mliochagua wenyewe!!!!! HAMAS shemeji yenu!!!!
 
Back
Top Bottom