Matembezi ya Jioni: Buza kwa Mpalange

Matembezi ya Jioni: Buza kwa Mpalange

Mambo kama haya yanaleta laana,ukiendekeza huo upuuzi utakufa very poor
 
Ila jamaaa umepoteza wengi sana....[emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona ulikua unateleza tu ila usizoee kwa mparange hapafai ukizoea kutembelea huko hapo mbeleni hutapapenda
 
Wakulungwa mbona povu kubwa hivi...
Wengine mnawaza uchafu tu...
Kwani Buza kwa Mpalange sio eneo lililopo ndani ya jiji la Dar es Salaama
Someni kwa ufahamu na msiingize hisia zetu chafu...
 
wabongo mnajifanya mnaweza sana **** anisha. mtoamada kasema buza nyie wengine wanamwambia aache michezo michafu😁😁
Wengi humu naona huo ndio mchezo wao, mimi naogelea kitongoji cha jiji la Dar es salaama, lakini wengi wana mawazo tofauti kabisa, kwa kweli tuna safari ndefu kama nchi....
 
Laiti tingefunuliwa mambo ambayo kila mmoja wetu anayofanya sirini, tungekimbiana....
Switihati, naona umepanda Boeing 767, uko anga za mbali....
Haya bana...
 
Kweli kbisa kule ni kwa mpalange, kuna maeneo buti ni za muhimu usijisahau mvua ikinyesha kuna sehemu unaweza kushindwa kufika
 
Buza inasemwa vibaya kama Bonyokwa wakati kiuhalisia sio maeneo mabaya kama majority ya maeneo ya DSM.

Nilitembelea Bonyokwa palinivutia sana napenda kukaa maeneo ya milimani halafu naiona City Centre kama niko Malibu
Kwa kweli kila shetani na mbuyu wake, mimi nimepapenda sana Buza, kumetulia sana kulinganisha na maeneo mengi ya jijini kwenye msongamano wengi wa watu ambavyo kila mtu anataka kupita au kuishi humohumo.....
 
Back
Top Bottom