Matembezi ya Jioni: Buza kwa Mpalange

Matembezi ya Jioni: Buza kwa Mpalange

Am very low IQ in decoding the codes....

Kindly elaborate more...🙂.
Hakuna code zozote za kudecoding...
Hata Google wanapajua....

1697999235505.png
 
Jiadhali Sana kule U.T.I na GONO vinatembea barabarani na vichochoroni bila kificho
 
Buza inasemwa vibaya kama Bonyokwa wakati kiuhalisia sio maeneo mabaya kama majority ya maeneo ya DSM.

Nilitembelea Bonyokwa palinivutia sana napenda kukaa maeneo ya milimani halafu naiona City Centre kama niko Malibu
Bonyokwa shida ni maji tu
 
Uwanja ni carpet safi ya nyasi za kijani
Mpira ulichezwa lakini njumu hazikua na tija
Burudani ilikuw sehemu ya mchezo huo
Magoli hayakua na nyavu hivyo ikawa rahisi hata kusema ni goli ambalo sio goli
 
Buza inasemwa vibaya kama Bonyokwa wakati kiuhalisia sio maeneo mabaya kama majority ya maeneo ya DSM.

Nilitembelea Bonyokwa palinivutia sana napenda kukaa maeneo ya milimani halafu naiona City Centre kama niko Malibu
Malibu ya kwa Biden au malibu ya simiyu
 
Asanteni wadau kwa maoni yenu..🙏
Nitarudi tena wikiendi ijayo na kuleta mrejesho
 
Habari za Jioni wa JF....

Nimekuwa nikifatilia tetesi kadhaa kuhusu maeneo ya Jiji la Dar es Salaama yanayojulikana kama Buza kwa Mpalange.

Hii ilinipa shauku ya kwenda na kutembelea haya makaazi.... kuwa ni maeneo yaliyosahaulika kimaendeleo na kusababisha maoni tofauti kwa kila wananchi ...

Na leo ninaleta ushuhuda wangu, kwa kweli mimi nilikwenda Buza kwa Mpalange na nilipendezwa na mandhari yake, na wala sikukumbana na zile barabara mbovu zenye mabonde na tope za kumwaga..

Na hata sikuvaa gumboots kwa tahadhari sababu nilitaka kushuhudia mwenyewe na kwa kweli nimepapenda na nita kuwa mtembezi wa mara kwa mara katika harakati zangu za mazoezi ya viungo..

Nakaribisha maoni kwa watembezi wa jioni kama mimi.......karibuni
Duh..uzi wako unanuka nya.!
 
Mkuu hongera kwa utalii wa ndani ila hiyo kwa Mpalange nafikiri imebadilika kuanzia mwaka jana au 2021, kabla ya hapo pale darajani ilikuwa ni shida.
Wengi humu hamjui "codes" mleta mada kaongea kwa "codes " sio kiswahili koko chenu
 
Habari za Jioni wa JF....

Nimekuwa nikifatilia tetesi kadhaa kuhusu maeneo ya Jiji la Dar es Salaama yanayojulikana kama Buza kwa Mpalange.

Hii ilinipa shauku ya kwenda na kutembelea haya makaazi.... kuwa ni maeneo yaliyosahaulika kimaendeleo na kusababisha maoni tofauti kwa kila wananchi ...

Na leo ninaleta ushuhuda wangu, kwa kweli mimi nilikwenda Buza kwa Mpalange na nilipendezwa na mandhari yake, na wala sikukumbana na zile barabara mbovu zenye mabonde na tope za kumwaga..

Na hata sikuvaa gumboots kwa tahadhari sababu nilitaka kushuhudia mwenyewe na kwa kweli nimepapenda na nita kuwa mtembezi wa mara kwa mara katika harakati zangu za mazoezi ya viungo..

Nakaribisha maoni kwa watembezi wa jioni kama mimi.......karibuni
vipi na jotoridi likoje??
 
Back
Top Bottom