fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,758
- 2,713
kweliNadhani Asilimia 80 ya wachangiaji hawajaelewa mada [emoji1][emoji1][emoji1]
yupo sahihi ndo maana mod hawajaufunga huu uzi kama unalazimisha kila mtu aelewe kama ulivyoelewa wewe!
Wengi humu naona huo ndio mchezo wao, mimi naogelea kitongoji cha jiji la Dar es salaama, lakini wengi wana mawazo tofauti kabisa, kwa kweli tuna safari ndefu kama nchi....wabongo mnajifanya mnaweza sana **** anisha. mtoamada kasema buza nyie wengine wanamwambia aache michezo michafu๐๐
wabongo ukiwawekea picha tuu jiandae kilamtu ataichambua kivyake.Wengi humu naona huo ndio mchezo wao, mimi naogelea kitongoji cha jiji la Dar es salaama, lakini wengi wana mawazo tofauti kabisa, kwa kweli tuna safari ndefu kama nchi....
Temeke wana Meya anaejua kutafsiri maendeleo kwa vitendo.Temeke Kuna mtandao mzuri sana wa lami za mitaa tofauti na Ilala
Kwa kweli kila shetani na mbuyu wake, mimi nimepapenda sana Buza, kumetulia sana kulinganisha na maeneo mengi ya jijini kwenye msongamano wengi wa watu ambavyo kila mtu anataka kupita au kuishi humohumo.....Buza inasemwa vibaya kama Bonyokwa wakati kiuhalisia sio maeneo mabaya kama majority ya maeneo ya DSM.
Nilitembelea Bonyokwa palinivutia sana napenda kukaa maeneo ya milimani halafu naiona City Centre kama niko Malibu