Matembezi ya Jioni: Buza kwa Mpalange

Jiadhali Sana kule U.T.I na GONO vinatembea barabarani na vichochoroni bila kificho
 
Buza inasemwa vibaya kama Bonyokwa wakati kiuhalisia sio maeneo mabaya kama majority ya maeneo ya DSM.

Nilitembelea Bonyokwa palinivutia sana napenda kukaa maeneo ya milimani halafu naiona City Centre kama niko Malibu
Bonyokwa shida ni maji tu
 
Uwanja ni carpet safi ya nyasi za kijani
Mpira ulichezwa lakini njumu hazikua na tija
Burudani ilikuw sehemu ya mchezo huo
Magoli hayakua na nyavu hivyo ikawa rahisi hata kusema ni goli ambalo sio goli
 
Buza inasemwa vibaya kama Bonyokwa wakati kiuhalisia sio maeneo mabaya kama majority ya maeneo ya DSM.

Nilitembelea Bonyokwa palinivutia sana napenda kukaa maeneo ya milimani halafu naiona City Centre kama niko Malibu
Malibu ya kwa Biden au malibu ya simiyu
 
Asanteni wadau kwa maoni yenu..πŸ™
Nitarudi tena wikiendi ijayo na kuleta mrejesho
 
Duh..uzi wako unanuka nya.!
 
Mkuu hongera kwa utalii wa ndani ila hiyo kwa Mpalange nafikiri imebadilika kuanzia mwaka jana au 2021, kabla ya hapo pale darajani ilikuwa ni shida.
Wengi humu hamjui "codes" mleta mada kaongea kwa "codes " sio kiswahili koko chenu
 
vipi na jotoridi likoje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…