Matembezi ya kuimarisha Muungano, kuhamasisha utalii wa ndani na kupinga viashiria vya kuwagawa viongozi wa kitaifa

Ukiielewa ccm jambo kama hili la kipuuzi halitokushangaza ccm wako kwaajiri ya kulinda utawala
 
Kweli tuna watawala wenye uwezo mdogo sana wakufikiri. Mambo hayalazomishwi, Muungano hauna faida yoyote ile kwa Tanganyika.
 
Muungano hauwezi kuimarishwa kwa kutembea au hata kwa kukaa au hata kwa kulialia hapa.

Muungano utaimarishwa na uongozi wa haki na uadilifu.

Muuze Loliondo na sasa muuze na bandari tuwachekee tu?

Tunaitaka Tanganyika
 
..matembezi ya kuimarisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

..mabango yana picha za Samia na Husseni viongozi toka Zanzibar.

..Hakuna bango la kiongozi toka Tanganyika.
 
SIKU ZOTE UKIONA MAANDAMANO YA KITAIFA UJUE KWELI NCHI IPO MATATTIZONI ILA AYA MAANDAMANO YA MIHEMUKO.KAANDAMANE MWENYEWE ANAYEKUSHAWISH UANDAMANE HAENDI HUU NI UJINGA NA MI DP WORLD SIO DP WORLD TUPA KULE AS LONG AS MICHONGO YANGU YA KIMAISHA INAENDA I DON'T CARE MOST OF PEOPLE WHO CLAIMS DP WORLD DP WHAT NI MIHEMUKO.TU
 
Hili limekwishabuma toka mwanzo.

Utaimarisha vipi muungano mbovu kama huu tulio nao sasa hivi?

Vijana, kama ni pesa mmepewa kufanya maandamano hayo, mzile, lakini kama mnashiriki katika kuinajisi nchi yetu, nanyi mtahesabika kuwa sehemu ya maadui wakubwa wa taifa hili.
 
Viongozi wa kitaifa wanajigawa wenyewe kwa tungo tata zao, waache kujitoa ufahamu
 
Mbona hawajawashirikisha Watanganyika?
 
chadema wajifunze nini maana ya mandamano kwa vitendo kwani wao huleta vurugu
 
Ujinga ni kipaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…