Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Ukiielewa ccm jambo kama hili la kipuuzi halitokushangaza ccm wako kwaajiri ya kulinda utawala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muungano hauwezi kuimarishwa kwa kutembea au hata kwa kukaa au hata kwa kulialia hapa.MATEMBEZI YA KUIMARISHA MUUNGANO, KUHAMASISHA UTALII WA NDANI NA KUPINGA VIASHIRIA VYA KUWAGAWA VIONGOZI WA KITAIFA
Kundi La JAMII MPYA TANZANIA likujumuisha wanachama wake zaidi ya 300 kutoka mikoa ya Tanzania Bara lafanya MATEMBEZI YA AMANI yenye jina la JAMII MPYA MUUNGANO TOUR kutoka Stesheni Posta kuelekea Bandarini tayari kuanza SAFARI kuelekea Zanzibar.
Matembezi hayo yalibeba Ujumbe wa kuimairisha Muungano, kuhamasisha utalii wa ndani na kupinga viasharia vya kuwagawa viongozi wetu wa kitaifa.
Aidha Matembezi haya yamelenga kuonyesha ni kwa kiasi Gani JAMII MPYA TANZANIA inaridhishwa na kuunga mkono mkakati wa maksudi wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuboresha uendeshaji wa Bandari zetu ili kuleta Tija kwa Taifa kuliko ilivyo kuwa hapo awali.
View attachment 2666413View attachment 2666414
Hili limekwishabuma toka mwanzo.MATEMBEZI YA KUIMARISHA MUUNGANO, KUHAMASISHA UTALII WA NDANI NA KUPINGA VIASHIRIA VYA KUWAGAWA VIONGOZI WA KITAIFA
Kundi La JAMII MPYA TANZANIA likujumuisha wanachama wake zaidi ya 300 kutoka mikoa ya Tanzania Bara lafanya MATEMBEZI YA AMANI yenye jina la JAMII MPYA MUUNGANO TOUR kutoka Stesheni Posta kuelekea Bandarini tayari kuanza SAFARI kuelekea Zanzibar.
Matembezi hayo yalibeba Ujumbe wa kuimairisha Muungano, kuhamasisha utalii wa ndani na kupinga viasharia vya kuwagawa viongozi wetu wa kitaifa.
Aidha Matembezi haya yamelenga kuonyesha ni kwa kiasi Gani JAMII MPYA TANZANIA inaridhishwa na kuunga mkono mkakati wa maksudi wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuboresha uendeshaji wa Bandari zetu ili kuleta Tija kwa Taifa kuliko ilivyo kuwa hapo awali.
View attachment 2666413View attachment 2666414
Viongozi wa kitaifa wanajigawa wenyewe kwa tungo tata zao, waache kujitoa ufahamuMATEMBEZI YA KUIMARISHA MUUNGANO, KUHAMASISHA UTALII WA NDANI NA KUPINGA VIASHIRIA VYA KUWAGAWA VIONGOZI WA KITAIFA
Kundi La JAMII MPYA TANZANIA likujumuisha wanachama wake zaidi ya 300 kutoka mikoa ya Tanzania Bara lafanya MATEMBEZI YA AMANI yenye jina la JAMII MPYA MUUNGANO TOUR kutoka Stesheni Posta kuelekea Bandarini tayari kuanza SAFARI kuelekea Zanzibar.
Matembezi hayo yalibeba Ujumbe wa kuimairisha Muungano, kuhamasisha utalii wa ndani na kupinga viasharia vya kuwagawa viongozi wetu wa kitaifa.
Aidha Matembezi haya yamelenga kuonyesha ni kwa kiasi Gani JAMII MPYA TANZANIA inaridhishwa na kuunga mkono mkakati wa maksudi wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuboresha uendeshaji wa Bandari zetu ili kuleta Tija kwa Taifa kuliko ilivyo kuwa hapo awali.
View attachment 2666413View attachment 2666414
Ni kweli aliyasema hayo au anasingiziwa? Mbona kauli ya kejeli sana?Bora Mimi naongoza waliolala siku wakiamuka wataniuliza,wewe mwenzangu unaongoza maiti.Maneno ya Mzee Jomo Kenyatta kwa J.K.Nyerere
Mbona hawajawashirikisha Watanganyika?MATEMBEZI YA KUIMARISHA MUUNGANO, KUHAMASISHA UTALII WA NDANI NA KUPINGA VIASHIRIA VYA KUWAGAWA VIONGOZI WA KITAIFA
Kundi La JAMII MPYA TANZANIA likujumuisha wanachama wake zaidi ya 300 kutoka mikoa ya Tanzania Bara lafanya MATEMBEZI YA AMANI yenye jina la JAMII MPYA MUUNGANO TOUR kutoka Stesheni Posta kuelekea Bandarini tayari kuanza SAFARI kuelekea Zanzibar.
Matembezi hayo yalibeba Ujumbe wa kuimairisha Muungano, kuhamasisha utalii wa ndani na kupinga viasharia vya kuwagawa viongozi wetu wa kitaifa.
Aidha Matembezi haya yamelenga kuonyesha ni kwa kiasi Gani JAMII MPYA TANZANIA inaridhishwa na kuunga mkono mkakati wa maksudi wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuboresha uendeshaji wa Bandari zetu ili kuleta Tija kwa Taifa kuliko ilivyo kuwa hapo awali.
View attachment 2666413View attachment 2666414
Ujinga ni kipajiMATEMBEZI YA KUIMARISHA MUUNGANO, KUHAMASISHA UTALII WA NDANI NA KUPINGA VIASHIRIA VYA KUWAGAWA VIONGOZI WA KITAIFA